wadau nyumba ya kununua manzese ni sh. ngapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau nyumba ya kununua manzese ni sh. ngapi?

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MARILYN, Jun 20, 2012.

 1. MARILYN

  MARILYN Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau naomba mnisaidie eti nyumba ya kunua manzese maeneo ya tiptop upande ule mabibo ni sh ngapi?
   
 2. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  sidhan kama utapata jib hapa.

  nyumba ya aina gan, ukubwa, status nk weka wazi au picha ili wadau wakufanyie estimation
   
 3. MARILYN

  MARILYN Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 96
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namaaanisha nyumba mbovu mbovu, nnachojali sana ni kiwanja
   
 4. Asante

  Asante JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: Dec 18, 2009
  Messages: 1,964
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Jibu la swali lako jaribu kwa wapiga ramli watakusaidia ndugu.
   
 5. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ipo mabibo makutano, bei ni milioni 95.....dalali hatakiwi. Kwa zaidi ni PM
   
 6. M

  Mnyasambo Member

  #6
  Jun 27, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 68
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  weka specs na prices
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mkuu mimi nina nyumba chakavu katika 2 moja ipo kinondoni shamba eneo lina ukubwa wa m30 kwa 15, eneo limejengwa nyumba ya vyumba 13 na bei ni 35m mazungumzo yapo, pia nina nyumba ipo kinondoni moscow ina vyumba 4 . bei 22m, maeneo yote hayo gari zinafika mpakaa mlangoni. nipigie 0657 145555
   
 8. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  manzese utapata kwa bei rahisi..ila mupunga mwingine utaulipa baadae ukihamua kwa style ya kabali na uvamizi....best of luck
   
Loading...