unahitaji PCs etc? ingia humu

Labata

Member
Mar 9, 2011
19
0
Kwa mahitaji PCs,printers,scanners,cameras, cables,servers,softwares na mengineo brand new kwa bei nafuu tofauti tuandikie sales3@orange.co.tz.
A%20S-alert1.gif

:wink2:
 
si unge attach hata price list? mi naona ndio ingekuwa poa mtu akuandikie baada ya kuona na kuchagua anachotaka
 
wabongo bana hatuna weledi katika mambo ya biashara jinsi ya kumvutia mteja kwenye bidhaa tunazouza
 
hapana hatupo,site ilikuwa katika matengenezo kidogo ndio maana lakini duka letu lipo mtaa wa india na zanaki.

Stock ya vitu ni vingi na ukitaka kitu tunakuwekea order yako ndio maana siwezi kuweka bei ya kila kitu hapa naenda na requests kwanza and then we will work from there...but ukiomba price list ya kitu na ukaprovide email address yako nakutumia as attachment. i hope nimeeleweka, ushauri wowote mwingine utapokewa. Shukran!:ear::ear:
 
Back
Top Bottom