Sakura automobile

Sakura automobile

Jalala

Member
Joined
Apr 15, 2010
Posts
47
Reaction score
18
Naomba kuuliza kama kuna mtu ameshafanya biashara na Sakura Automobile je ni waaminifu kama Autorec?
 
mkuu

sakura auto mobile hawana tatizo .... kuna jamaa anaitwa Nalaka De Soya yupo hapo .... mimi ninamjua siku nyingi sana tangu alipokuwa kampuni anayoitwa RAMADBK

trust them
 
Back
Top Bottom