Nauza viwanja vilivyopo kigamboni eneo la kibada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza viwanja vilivyopo kigamboni eneo la kibada

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jun 26, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Ninauza viwanja vifuatavyo katika eneo la kibada huko kigamboni, ni km 16 kutoka feri hapa naweka ukubwa wa kiwanja na bei yake. vyote vimepimwa na vinaonekana kwenye ramani.
  2000 sqm Tsh. 52,000,000
  640 sqm T.sh 18,000,000
  600 sqm T.sh 18,000,000
  1050 sqm T.sh 25,000,000
  1500 sqm T.sh 27,000,000
  800sqm T. sh 45,000,000 kipo pembeni ya barabara
  1400sqm T. sh 40,000,000
  1445sqm T.sh 41,000,000
  9000sqm T. sh 300,000,000 ni maalum kwa ujenzi wa shule au chuo

  12500sqm sh 300,000,000 ni maalum kwa ujenzi wa kituo cha mafuta zipo eneo la gomvu ( eneo hili mmiliki wake amelipia vibari vyote kwa ajiri ya biashara ya mafuta pamoja na leseni anayo hivyo mnunuzi atapewa hati hizo ili aendeleze.

  kwa anayetaka tuwasiliane 0755 099 291, 0657 14 55 55, na 0686 200 117.
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mmmh mkuu sio eneo la Bush hili alilo gawiwa huko Kigamboni?
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hapana mkuu, viko salama vimetolewa na manispaa ya Tmk
   
 4. 1

  19don JF-Expert Member

  #4
  Jun 26, 2012
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  CHEZEA bush wewe
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Mkuu...hii ni pesa ya bongo ama zimbabwe??
  pamoja na umuhimu wa ardhi nadhani tunakuza thamani yake kwa hapa kwetu...sasa hapo si bora ninunue flat ya NHC tu tena mjini kati?
  Maana hapo unaweza kuishia kununua plot na usipate hela ya kujenga ukabaki na mawazo yakakupunguzia siku za kuishi duniani...wenzet ulaya walishaacha
   
 6. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #6
  Jun 26, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Posho hizi za magumashi na mshahara wa kula three days ndo unaishia kujenga huku ukila chukuchuku na siku nyumba ikiisha wewe unahamia muhimbili afya imedorora ama kazini wanakufire maana ili hadi ujenge hapo uliponunua kwa mahela hayo lazima uibe au na akaunti uswis
   
 7. A

  Akiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  We unaona ni hera ya nchi gani? na kama we huna hera wenzako wanazo , ulaya wameacha so what? hii ni biashara ni ya hiari, mbona wenzako wanapiga cm na mmoja kanunua. kama unaona mada haikuhusu pita bila kuchangia
   
 8. b

  bidada Senior Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu punguza hasira, kwenye biashara kuna hitaji busara..........kumbuka kuna wateja wa aina mbalimbali na wenye tabia mbalimbali jifunze jinsi ya ku deal nao ili usipoteze wateja wengine.
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Asante kwa ushauri na samahani , ila mkuu kuna watu humu wanaudhi kazi yao ni kuponda tu, kwelii nimekosea hatatokea tena
   
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hamna kiongozi kila kitu ni mipango , ni kweli unaweza nunua flat za nssf lakini kuna wengine hawataki nyumba za kushea na wengine wanataka za kwao wenyewe, lakini pia ni vizuri tukaacha uonga aridhi ni asset nzuri sana viwanja kama hivi ambavyo vimepimwa huwa havina hasara kamwe. unaweza nunua na kisha ukakijengea ukuta ukaenda zako hata ukakiacha miaka 15 au zaidi . na hakika unaweza uza bei . binafsi nilinununa eneo miaka 10 iliyopita kwa 17m hapo kinondoni mwezi huu nimeuza 130m. usiongope kuwekeza kwenye aridhi. inalipa.
   
 11. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  Nakubaliana nawe ila nazungumzia uhasia wa maisha ya tz...hata nikienda benki hiyo pesa sikopeshwi....labda kimipango kama usemavyo lakini si kihalali.hizo 300m nazionaga benki tu kwa mateller
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  umesomeka mkuu
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Pamoja sana mkuu
   
Loading...