Ekari moja inauzwa kibaha kwa matias

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
40,598
52,296
Hali zenu wana bodi,
Naleta kwenu tangazo la kuuza eka moja ambayo
ipo kibaha kwa matias. Ni mkono wa kushoto kama
unakwenda morogoro. ni jirani na makao makuu ya chuo kikuu huria.
eneo lina hata miliki ya kijiji tu. Bei ni nzuri
endapo unapenda please ni -PM.

Mkuu bei ni 8m/=
 
Mamndenyi hata wewe mzoefu kabisa wa majukwaa ya JF unaweka tangazo bila kuweka bei jamani? Kweli?
 
Ni umbali gani kutoka Morogoro Road au unapita chuo au kabla ya chuo? Je kwa Dr Baki? Vipi eneo lina maji? Umeme uko umbali gani? Bei ni fixed? au negotiable?
 
Bei ni getotiable,
unapita kwa dr. baki,
ni usawa wa chuo, upande wa kasikazini mwa chuo.
kwa hiyo geographia issue ya maji na umeme unaweza ukaifahamu vizuri mkuu.

Ni umbali gani kutoka Morogoro Road au unapita chuo au kabla ya chuo? Je kwa Dr Baki? Vipi eneo lina maji? Umeme uko umbali gani? Bei ni fixed? au negotiable?
 
Back
Top Bottom