Nasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu Gervas Mkili hatunaye tena. Mkili alifariki jana Jumapili pale Hospital ya Muhimbili wakati akipatiwa matibabu ya Moyo, tatizo lililogundulika siku moja kabla ya...
ina vyumba 2 vya kulala, jiko na choo, iko ndani ya uzio , luku maji yapo compound unashirikiana na wenzako 2, gari haiingii ndani inakaa nyumba ya pili. bei Tsh, 250,000/= kwa mwezi. juu ina...
Naweza kupata wapi simu aina hii Huawei Ascend P1 na Huawei U 8860 honor kwa hapa Bongo,anayejua tafadhali anijuze,pia ningependa kujua na bei yake.Natanguliza shukrani
Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu.
Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM.
Kuwasiliana piga 0714 25 53 51.
Karibu.
habari zenu JF
sisi ni private dealers ambao tunauza magari ya aina mbalimbali kwa bei nzuri. tunauza magari mapya na yal used yaliyo in a very good condition........ baathi ya magari ni kama...
Salam kwa wote! Nyumba mbili pamoja na kiwanja cha kutosha zipo MOSHI mjini Eneo la karanga, bara bara ya Moshi Arusha, mkabala na geti la Magereza la karanga Moshi. Kwa maelezo zaidi piga...
Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!!
Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli
Kimepimwa doc zake zipo.
Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia...
Wana JF mimi ni kijana niliyejiajiri nina elimu ya Tax management and Accounting pia nina uzoefu wa micro business assessment and analysis kwa zaidi ya mwaka na nusu nikiwa kama afisa mikopo na...
Jamani ndugu zangu nauza gari Isuzu Journey, Engine type 4BD1, Seating capacity 29, Imported-Singapore, Imefanya kazi ya Daladala kwa mwaka mmoja sasa, Tegeta-Ubungo. Ipo katika hari nzuri, Bei...
Mambo vipi wana JF?
Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998, Engine capacity ni CC 1984
Odometer ni km 160,000
Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.
Inauzwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.