Viwanja vinauzwa vipo gezaulole kikamboni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viwanja vinauzwa vipo gezaulole kikamboni

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 17, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Viwanja vinauzwa vimepimwa na kuwekwa mawe. vipo gezaulole km 11 kutoka feri .

  SQM 825 BEI 22M, SQM 798,BEI 20M NA SQM 795 BEI 20 viwanja hv vinafuatana hivyo mtu mmoja anaweza nunua vyote na kupanta kiwanja kimoja cha SQM 2418 KWA T.SH62M. Ukifika gezaulole viwanja hv vipo umbali wa robo km ni mwendo usiozidi dk 5 kwa gari.

  Pia kuna hv SQM 1109 BEI 21M NA SQM 1092 BEI 21 pia vinafuatana hv viko ubari wa km 3 kutoka barabarani.


  Pia kuna SQM 820 zipo kibada bei 25m, na SQM 2678 kipo amani gomvu ni km 23 kutoka kigamboni bei 23m.

  tuwasiliane : 0657 145555 au 0778 625 039 Akiri
   
 2. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Gezaulole? Sio vile vilivyotangazwa na manispaa ya temeke, raia tukajazana kuchukua fomu? Hebu tueleweshe vizuri hapa mkuu Akiri
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2012
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmm! Mpo mpaka huku?
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Vile wametoa wale waliokuwa wamiliki wa mwanzo kabla ya upimaji,majina niliyaona mule ni Idd Azan,Abbas Mtemvu,Somebody Kikwete,aggrey mwanri na majina yanayofana na hayo mengi tu! Haya ya kina yakhe bado hayajatoa!
   
 5. M

  Mercury Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watanzania wengi wamekuwa walanguzi kweli kweli. yani hivi viwanja vimenunuliwa kwa chini ya million nana (8) na watu wengi walikuwa wanaitaji sasa wakanyimwa hili viuzwe kwa bei ya magendo (enzi za mwalimu tulikuwa tunawahita wahujumu uchumi). Kijana hiyo sio sawa kabisa. nenda kajipange upya kabla ujaanza kufanya ulanguzi wa viwanja. Achilia mbali unaweza kununua ukawa mtu wa watatu na kuliwa pesa zako.

   
 6. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Inasikitisha sana, viwanja viuzwe kwa tsh mil 6 watu wanaacha usingizi kwenda kupanga folen wanaliwa tsh 20,000 za form halafu leo kiwanja kinauwa mil 22 Mungu wangu ! maana yake wanajiuzia wenyewe waje wajitajirishe , hivi Tanzania tutafika kweli?!
   
 7. s

  slufay JF-Expert Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,372
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ngoja niende kwenye squarter majohe hela zote hizo mimi nitapata wapi wakati mimi siko botp
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  ungesema tu kwamba mfuko wako umetoboka ungeeleweka kuliko kuongea mengi utadhani mwana siasa, ulanguzi umeuona kwenye aridhi peke yake? siku zote madebe matupu huya yanakelele sana.
   
 9. A

  Akiri JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hapana kiongozi vile tulivyotangaziwa vinaitwa ni vya mradi. hivi sio vya mradi undoa shaka mkuu
   
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mkuu ni kweli squarter ni nzuri tatizo zinakuwa hazina uhakika , kuna viwanja vizuri vya squater ukikipata kifanyie utaratibu wa kukisajiri wengi tumeshirikiana nao kufanya hivyo na wamejikuta wamepata kiwanja kwa bei nzuri sana
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kusajiri kiwanja unafanya kwa sh ngapi? Full Title Deed
   
 12. G

  GTesha JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wacha niendelee kutaja jina a bwana wangu wakati wewe ukiendelea kutaja viwanja
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Mkuu hatuwezi kukiongea hapa hicho kitu . mimi binafsi sisajiri ili kutokana na kazi yangu ya kuuza viwanja na nyumba nimekuwa na conection na wa2 ambao wanafanya hizo kazi nipigie tuongee. samahani
   
 14. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  Kaka ningependa sana kumiliki viwanja lakini mie ni Daktari na mshahara ambao nalipwa na serikali ya CCM haunitoshi hata kununua hicho kiwacha. Sera mbovu za ardhi ndo tatizo kuwaachia mafisadi kumiliki viwanja sisi wanyonge tunaumia
   
 15. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmeiba vocha sasa mnadhulumu raia

  mambaff
   
 16. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 447
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Tibaijuka kazi yake nn?
   
 17. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Sijui. Ninamkumbuka sana mama Salome Sijaona. Kwa nini walimpeleka ubalozini? Watumishi bora kama wale walitakiwa wapewe mkataba baada ya muda wa kustaafu hadi aseme "nimeshindwa". Yanayotokea ardhi ni machungu na kwa decentralisation ya kazi to Municipal ni hatari zaidi. I tell you hakuna corrupt offices kama Municipals specifically za DSM?!!! Mtu anatembea na mhuri wa office na ili akupigie mhuri ni lazima hongo!!! I will not forget you in year 2008 manispaa za Temeke na Ilala. Big up for Kinondoni, walinifanyia kazi bila hiana at that time, sijui kwa sasa.
   
 18. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwa bei hizo, mhhhh!! Ngoja mafisadi na watoto wao watakupigia cim. Sisi ambao nchi yetu ilishatutenga kimaslahi hatuwezi!!!!!!
   
 19. A

  Akiri JF-Expert Member

  #19
  Jul 18, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Sio busara kwa mpiganaji kukata tamaa na kuona wengine wanaweza na wewe huwezi. kuna jambo linashangaza humu wengi wanalalama na kushambulia. mimi ni commission agent wala sio wenye viwanja na siongezi sh kumi sababu nalipwa commission yangu. lakini hebu fikiri kuna mtu kapata 10m na akaona asiweke benk aweka kwenye aridhi na leo anauza kwa nini mnamraum? hawa wote walonipa hivi viwanja walinunua 1996 na 1998 sasa kosa lao li wapi? tuache kujiona wanyoge na tupambane
   
 20. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #20
  Jul 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Nasubiri Mch. MTIKILA akiwa rais kila raia apewe kiwanja bure akiuze au ajenge
   
Loading...