Nauza set ya vifaa vya gym (body building) - locally made | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza set ya vifaa vya gym (body building) - locally made

Discussion in 'Matangazo madogo' started by E52, Jul 18, 2012.

 1. E

  E52 Member

  #1
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wadau ninauza set ya vifaa vya mazoezi vya body building ambavyo ni locally made ila ni vya chuma,,vifaa hivyo ni BARBELL yenye plate 6 (each plate ina uzito wa kilo 1O),DUMBELLS-set moja za kilo 10,..na dumbell nyingine ina kilo 15(ipo moja),BENCH kwa ajili ya bench press na incline press..nauza vyote kwa jumla...bei ni 250,000/=..reason ya kuuza : nimenunua vifaa vipya...kwa mawasiliano piga 0756090222
   
 2. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 199
  Trophy Points: 160
  mkuu upo wap? tucheki kama kuna uwezokano ya kuviona?
   
Loading...