Jipatie kifaa kipya na cha kisasa cha internet kwa bei poa kabisa!!!

Michael Amon

JF-Expert Member
Dec 22, 2008
8,775
3,610
Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya wireless. Kifaa hichi kama kinavyoonekana hapo chini kwenye picha kina uwezo wa kuunganisha hadi computer tano kwa njia ya wireless na kukupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.

MiFi_2372_front_V2.png
579085_360291057355171_100001228408321_1094464_1613862918_n.jpg

Sifa za kifaa hiki:

  • Kifaa hiki kina uwezo wa kuconnect hadi device 5 zenye uwezo wa WiFi kwa wakati mmoja kama vile Computers, PDA's, cameras, music players, personal game players n.k huku ikiendelea kukupa internet yenye speed na kasi ya ajabu.
  • Kifaa hiki kinatumia Rechargeable battery aina ya Lithium Ion yenye uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa manne hivyo huna haja ya kuwa na wasi wasi wa kukosa mtandao endapo ukiwa katika eneo ambalo halina umeme.
  • Pia kifaa hiki kinamrahisishia mtumiaji kuweza kuconnect internet kwa njia ya wireless mahali popote na wakati wowote bila ya kuwa na haja ya kuinstall software yoyote.
  • Pia kifaa hiki kinatumia line za mitandao yote ya simu ya mkononi hivyo kukurahisishia wewe mtumiaji kuweza kubadilisha line endapo mtandao mmoja utasumbua badala ya kuwa na modem za mitandao yote ya simu ambazo pia zinaweza kusababisha error katika computer yako endapo utainstall software nyingi za modem katika computer yako.
  • Kifaa hiki pia kina muonekano mzuri, kidogo mfano wa simu aina google IDEOS na ni chepesi ambacho kinakuwezesha wewe kuweza kutembea nacho kwa urahisi mahali popote upendapo.
  • Kifaa hiki pia kina uwezo wa NovaSpeed ambayo inakupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.
  • Kifaa hiki kina uwezo wa kusafirisha signals za wireless kwa zaidi ya mita 10 (30ft).
  • Speed ya kifaa hiki ni (7.2 Mpbs download na 5.76 Mbps upload)

BEI: Bei ya kifaa hiki ni sh. 150,000/=

Kwa wale wangependa kununua kifaa hiki tafadhali naomba mtoe order zenu kupitia anwani zifuatazo:-

E-mail: sales@youngmaster.co.tz
Mobile: +255789884221

unaposema kwa wakazi wa arusha unamaanisha kua ukiwa mkoa mwengine hupati?

Na nna maswali haya ya kukuuliza

Sjaona display katika hiko kifaa ntaset vipi access point?

Je ni chombo kinachomanage au kunakua na computer 1 kati ya hizo 5 ndio inakua admin?

Natumai mifi ni kama modem ina speed je hyo spedd yake ni 3.6 au 7.2 au 1.8 mbps tuambie
 
Nashukuru sana kwa maswali yako mkuu chief-mkwawa. Kama upo nje ya mkoa wa Arusha unaweza kukipata hicho kifaa ila itabidi ulipie gharama za ziada za kusafirisha kifaa hicho.

Pili kifaa hiki ni chombo kinachojimanage chenyewe na kinafanya kazi kama inavyofanya kazi router pamoja na jinsi ya kuconfigure is the same way as router. Tofauti ya router na hii ni kwamba router inatumia ethernet kwa ajili ya kupokea internet na kurusha internet kwa either wireless or wired wakati hii MiFi inapokea internet kutoka kwenye line ya mtandao wowote wa simu na kurusha au kusambaza internet kwa njia ya wireless tu.

Speed yake ni (7.2 Mpbs download and 5.76 Mbps upload)
 
Last edited by a moderator:
so kaka kama kinaungwa mfano wa WIFI ntawezaje kudhibiti watu walio jirani wasiibe kinyemela. Pia kaka signal zake zna uwezo wa kusafiri umbali gani still iwepo speed ya uhakika.
 
so kaka kama kinaungwa mfano wa WIFI ntawezaje kudhibiti watu walio jirani wasiibe kinyemela. Pia kaka signal zake zna uwezo wa kusafiri umbali gani still iwepo speed ya uhakika.

Mkuu nurbert Signal za kifaa hiki zinaweza kwenda hadi umbali wa mita kumi kutoka kifaa kilipo. Kuhusu swala la security wala usiwe na wasi wasi kwa sababu kifaa hiki kimewekea aina mbali za encryption ikiwemo WEP na WPA ambazo zinakuwezesha wewe kuweza kuweka encyrption key yako au password ambayo itatumika katika kuconnect computer yako na hiki kifaa kwa njia ya wireless. without hiyo password or encryption huwezi kuconnect na hiki kifaa.
 
Dah. Thats cool.
 
Last edited by a moderator:
Umesomeka, nimekuelewa vizuri sana. Specs zake ni nzuri, ila tu hapo ktk mita 10 (30ft). Kwangu naona ni distance ndogo... lakini sio ishu! Nitakucheki.
 
Back
Top Bottom