Kiwacha cha sqm 1158 kinauzwa gezaulole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiwacha cha sqm 1158 kinauzwa gezaulole

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Jul 19, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hakipo mbali na barabara ni mwendo wa dk 7 toka barabara ya lami. bei ni 23m kimepimwa na kimewekwa mawe. tuwasiliane 0657145555, au 0778 625039, 0755 099 291 na 0686 200 117. karibu
   
 2. S

  Strategizt Senior Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Oct 16, 2009
  Messages: 176
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35

  Hebu nifahamishe kuwekewa mawe ndo nini..... Ndo kina hati au naomba unieleweshe tafadhali.
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  kinayo hati mkuuu shaka ondoa , hatua ya kwanza huwa ni kupima kisha kuweka mawe. jiwe huwa ni ishara ya kuonesha kwamba eneo hili limepimwa na linatambulika, hata utapata mkuu.
   
Loading...