Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nissan Patrol 4 sale details zote ziko hapo chini bei 17m but its negotiable for genuine buyer tuwasiliane kwa cell # 0719757700
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natafuta Laptop ya bei poa Ram 2Gb Processor 2.0GHZ-240GB au zaidi offer yangu 350,000/=
0 Reactions
9 Replies
1K Views
habari zenu wakuu nauza simu yangu aina ya nokia c2 kwa bei ya tshs.110,000/=.maongezi yapo simu ni mpya kabisa imetumika wiki mbili tu naiuza coz nataka ku-upgrade simu hadi kwenye smart phone...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
WADAU Blackberry hizo zipo sokoni changamkieni dili
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mysteryman 18:53 Today wakuu ninahitaji mkopo wa milion moja wenye riba nafuu.....nitarejesha baada ya miezi minne na uwezo wangu au riba isizidi laki tatu kwa miezi yote minne.....nina...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapi naweza pata hii simu Huawei Ideos X5 kwa hapa bongo?kama yupo anayejua anijuze,kama pia anajua bei yake itakuwa mswano
0 Reactions
0 Replies
779 Views
Mambo vp wana jf? Kiwanja kina ukubwa wa nyuma 15 mita kwa 23mita mbele, na pembeni ni 17 kwa 15 mita. HAKIJAPIMWA NA HAKINA HATI. Kwa mawasiliano: 0762 101178 au 0717 123464
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natafuta gari ya kukodi kwa ajili ya Sherehe ya Harusi weekend ijayo; gari aina ya Toyota~Harrier ikipatikana nyeusi iliyo katika hali nzuri itakua vyema zaidi, nazihitaji mbili kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
ooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau, naombeni mnisaidie natafuta chumba(master) na sebule ya kupanga, bei isizidi 150,000/=. Maeneo ya Sinza au Mwenge na kuwe na maji. Kama unamiliki au unamjua mtu anayemiliki au mpangaji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
TANZAZO Nyumba innauzwa shilingi Milioni 38 iko Ukonga Kupunguni “B” Moshi Bar , ni selfu ya vyumba vitatu Kwa mawasilano piga simu 0715 634825 au 0755 634825
0 Reactions
3 Replies
1K Views
INAFAA KWA MATUMIZI YA OFISI, DUKA LA CHAKULA, VIFAA VYA UJENZI, DUKA LA DAWA NK BEI NI TSHS. 80,000/= KWA MWEZI NA MKATABA NI WA MIEZI SITA SITA FREMU INATAZAMA BARA BARA YA CHANGOMBE WASILIANA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nahitaji kiwanja cha kununua kati ya sh, million 3 mpaka 5..kiwe maeneo yenye maji na umeme na maeneo ya kuishi.....pls wasiliana na mimi 0658-000-569 nahitaji kiwanja hicho mapema.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu wadau , tunauza viwanja vya size mbali mbali kama 20 x 20 = 5mil , 40 x 20 = 10m , vipo eneo la wazo hill , madale . ni eneo la makazi mapya na miundo mbinu kama barabara , maji , umeme...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba ina kiwanja kikubwa cha kuongezea nyumba nyingine hata 3 inauzwa tabata, pesa ina hitajika haraka, milioni 187, tuwasiliane 0714981009 tufanye biashara hati ipo ukisharidhia unaweza kwedna...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
  • Closed
Comes with ts charger, bag and 1 original cd !!! Fixed price !! Iko poa kabisa , used lyk new !
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza Toyota Passo G, 2004, 1300cc, Red shiny Metallic, Registration... T 331 BZK, New Music System with Big big booster, gari ina siku 46 tangia itoke Nagoya, Japan.... Bei..... 12...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MOVIES MPYA NA SERIES, kama , NIKITA COMPLETE SEASON 2, NIKITA COMPLETE SEASON 2, TRUE BLOOD COPLETE SEASON 4,MOVIES...SAFE HOUSE YA DANZEL ya Danzel Washngton, SAFE, MISSION IMPOSSIBLE GHOST...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
natafuta hp photosmart c510a or 7510,yoyote mwenye nayo or anaweza nidirect zinapouzwa anijuze..me nipo arusha!
0 Reactions
1 Replies
912 Views
ideos phones for sell (limited time offer), for just Tsh 150,000. All phones are new. Cover color of your choice. Inbox me for more info., and for your order.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom