Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za saa hii wana jf ninahitaji iphone 5 mpya(kutoka dukani)ila sifahamu itakua inauzwaje... Naomba msaada wenu tafadhari
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Asanteni, DEAL IS DONE! thnks JamiiForums Specifications 1. Rangi yoyote . 2. Ndani iwe safi - iwe katika hali nzuri 3. Mileage si zaidi ya km 90,000 4. CC 660. 5. Isiwe na mikwaruzo bt Kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya wezi wa magari kuvamia DSM sasa kunakifaa kipya kabisa,kitakacho kufanya kufuatilia gari yako pindi mwizi atakapo likwapua,unachotakiwa kufanya ni wewe kuwa na line ya simu GSM na baada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau nahitaji toyota stalet carat au reflet iliyo katika hali nzuri bajet yangu ni 5.5M.
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Jipatie Magauni ya Harusi na Send off kwa bei Naafu. Tupo Arusha Namvua Plaza gorofa ya pili au unaweza piga sm No 0682675026. Pia tunashona nguo za Aina zote za Kike.
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Flat inapangishwa kwenye kota za Usalama wa Taifa barabara ya Ocean Road jirani na hospital ya Ocean Road. Kuna Master Bedroom moja, chumba kimoja, Sitting room, choo cha Public pamoja na Jiko...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina laki tano nahitaji hiyo simu(used)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni milioni 15 na bei inapungua ina vyumba viwili vya kulala na sebule na sitting room WASILIANA NA 0652 131653 Spora
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salam wanajamii! Kuna kiwanja cha medium size sqm 790 kinauzwa maeneo ya ukuni bagamoyo mjini kiwanja kinafikika, kipo sehemu iliyojengeka vizuri na kwa mpangilio, hati ya kiwanja ipo. Huduma za...
0 Reactions
0 Replies
971 Views
Wadau habari za muda na poleni kwa majukumu, Naulizia mwenye kujua zinapoweza kupatikana taa ya mbele ya kushoto ya Toyota starlet model ya carat ikiwa full pamoja na indicator yake.Tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
salaam! nahitaji kukodi gari kwa siku moja tu, msaada kwa yeyote anayeweza kunijulisha upatikanaji wake na gharama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ipo mtaa wa longido upanga , kiwanja kinaukubwa wa sqm 950, ineo limezungushiwa uzio na pembeni linazungukwa na gorofa ndefu , ni sehemu nzuri sana kwa ajili ya kujenga kitega uchumi. jengo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ni Kitunda kati,kituo cha basi Masai-approx.150 meters kufika vilipo. 1. size 1245 square meters-50mil. 2.size 973 square meters-40mil (negotiable) HAKUNA DALALI. Vyote vina leseni za...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau wenye Ideos naomba anicheki chap nahitaji
0 Reactions
5 Replies
938 Views
Hello WanaJF natafuta chumba self-contained naomba msaada wenu, panapowezekana.:A S embarassed:
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Espitech Engineering Company are Exparts in Latest and Advanced Equipments Supply and Instollation of the following Services CCTV surveyallance Intruder Alarm System Entrance/Exit Fire...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo vipi JF? Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10. Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja. Kwa mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
nahitaji mtu mwenye simu hii aniuzie tukubaliane bei haraka sana na iwe katika hali nzuri isiwe imechoka
0 Reactions
0 Replies
596 Views
Jiko na mixer ya bakery zinauzwa Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wana JF... nina kiasi cha Tshs. 6M Je ninaweza kupata gari (saloon, RAV 4, Escudo) iliyokuwa katika hali nzuri kama ipo naomba PM
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom