Natafuta room self contained, umeme na maji visiwe vya shida karibu na posta na pia karibu na barabara Dar es salaam, asap
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
1.Battery gel battery: 12V / 7A
2. Small voltage Sockets:Battery gel battery: 12 v / 7 Ah
Small voltage Sockets:
a. 3 volt
b. 4.5 volt
c.-6 Volt
d. 9 volt
e. 12 volt
3. Car Socket 12 volts / 10...
Wireless cctv monitor cameraNauza cctv Camera pamoja na screen ndogo kama sikosei ni 7 inch.Ni nzuri kwa matumizi ya biashara kama duka kwa ajili ya kuweka usalama kwa vibaka.Lakini hairikodi...
kwa wafanya biashara wadogo wadogo , wanao husika na vyakula mbali mbali ,na kwa matumizi ya nyumbani, tuna watangazia BITES au vitafunwa vipya jijini DAR ES SALAAM , asili yake ni nchi ya...
Land for sale in Mbeya City
Land: 27 Acres* (with Title)
Price: 300 Million Tanzanian Shillings
2.5 km from Tanzania Zambia Highway.
Area: Ilomba
Call 0756 888 330/0754 277084 for more...
Nauza jiko kubwa la deki 4 pamoja na mixer ya kukandia unga ambayo sijui size yake ila naweza nikasema size ya kati.Vifaa hivi vipo katika hali nzuri na vyote vinatumia umeme mkubwa (3...
Kama mpiganaji wa porini nipo nikiwaza nchi itapata lini wapiganaji wazuri na ambao ni wazalendo kama mheshimiwa Luhanga aliyefariki jana ambaye alimfanya hadi Marehemu Raisi wa Msumbiji Samora...
Wote tunafahamu stoo ni sehemu ya kuhifadhia vitu, lakini kwanini tuhifadhi vitu miezi na miezi ama miaka na miaka bila kuvitumia? Wakati stoo yako inazidi kujaa, huku nyuma kuna watu (makumi kwa...
Nimeliona hili tangazo katika blog ya Mjengwa kwakweli imenisikitisha sana na hivo nimeona labda niwawekee na wengine wasiojua pengine itasaidia kumpatia msaada.Kwakweli inaonyesha yupo katika...
Brazillian inch 6 to 18 human hair 100%, sleek inch 8 to 12 indian hair, nature, golden perfect zote ni human hair na bei ni pooowa kabisa....tuko dar es salaam kkoo karibu na soko kuu la...
waandishi wa habari ,wanasiasa,,na madereva,,wapelelezi,,ninapeni ambayo inauwezo wa kuchukua video,,picha za mnato na audio ,,ni hd,,,,,ina gb 4 mpaka 8,,,wahitaji wani pm
Jamani nasikia eti sasatel imefilisika?
Natafuta battery ya simu waliyoniuzia nitaipata wapi?
Naomba wana jamii forums mnisaidie kupata battery simu yangu haifanyi kazi hata kwa masaa matatu niki...
Wakuu.Ninahitaji External Disk ya GB 500 kwa bei poa zaidi (sio ya dukani). Naomba kama kuna mtu anaweza kuniuzia tuwasiliane kwa No: 0755869561 tujaribu kuBargain. Durability is much more...
Nahitaji a person ambaye anaeza ku edit photos, effects n everything vizuri na photoshop CS6 au any program...ni nayo photoshop lakini sijui kutumia vizuri....Ni pm au ni text on +255 756 412 337...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.