Pure german shepherd puppies 4 sale

Pure german shepherd puppies 4 sale

Kabachubya

Member
Joined
Oct 6, 2009
Posts
87
Reaction score
10

Mambo vipi JF?

Puppies DOB 29/07/2012 wanauzwa, wameshachomwa DHLP , buster wanachomwa mwezi wa 10.

Bei kwa puppy mmoja ni Tshs 400,000/=. Wamebaki majike wa2 na dume mmoja.

Kwa mawasiliano: 0717 123 464 au 0762101178

 

Attachments

  • DSC04458.JPG
    DSC04458.JPG
    452.5 KB · Views: 246
  • DSC04460.JPG
    DSC04460.JPG
    279.4 KB · Views: 207
  • DSC04463.JPG
    DSC04463.JPG
    356.8 KB · Views: 186
tofauti ya german sherphad na hawa mbwa wengine ni nn?? Mbona wana bei hvyo?
 
Ukishakuwa na mbwa au hata kwa kuwaangalia utaona tofauti yao, kuna tofauti kubwa tu kuanzia muonekano mpaka uelewa.
 
Mbwa mbwa tu mwanawane hayo majina ni swaga zenu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom