Track your car-GSM-kiboko ya wezi wa magari

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Baada ya wezi wa magari kuvamia DSM sasa kunakifaa kipya kabisa,kitakacho kufanya kufuatilia gari yako pindi mwizi atakapo likwapua,unachotakiwa kufanya ni wewe kuwa na line ya simu GSM na baada ya mafundi kukiunganisha kifaa hicho ktk gari yako basi unaweza kukata mafuta pindi wezi wanapoliendesha gari lako na baada ya hapo unaweza kuelewa wapi gari lako lipo kwa kutumia GPRS,huna haja ya kuwa na simu za kisasa hata hizi za mkulima zinafaa sana,cha muhimu ni mawasiliano yawepo mahali gari lako lipo





kwa maelezo zaidi tuwasiliane(PM)

T2L8iaXd0XXXXXXXXX_!!14096704.jpg
 
hizi tracking system zipo DSM,ukienda dodoma utauziwa laki 5,lakini mimi nawauzia laki 4,nini mnataka wadau?
 
Back
Top Bottom