Nahitaji suzuki carry truck | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji suzuki carry truck

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Charles Mtekateka, Oct 5, 2012.

 1. Charles Mtekateka

  Charles Mtekateka Verified User

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 310
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Asanteni, DEAL IS DONE! thnks JamiiForums


  Specifications


  1. Rangi yoyote .
  2. Ndani iwe safi - iwe katika hali nzuri
  3. Mileage si zaidi ya km 90,000
  4. CC 660.
  5. Isiwe na mikwaruzo bt Kama ina mkwaruzo nijulishe mapema.

  NB.

  1. Dalali hatakiwi, nahitaji kuwasiliana na mwenye mali tu.
  2. Ukituma msg weka na ofa price
  3. 0764 162008
   
 2. Mabreka

  Mabreka JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 29, 2012
  Messages: 709
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kaka angalia uzi za jana, kuna mdau aliweka mupya kabisa ipo bandarin ni ya kulipia inshuarensi tu
   
Loading...