Kiwanja bei nzuri

Kiwanja bei nzuri

Kariba1

Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
75
Reaction score
4
Salam wanajamii! Kuna kiwanja cha medium size sqm 790 kinauzwa maeneo ya ukuni bagamoyo mjini kiwanja kinafikika, kipo sehemu iliyojengeka vizuri na kwa mpangilio, hati ya kiwanja ipo. Huduma za jamii zote zinapatikana karibu. Bei yake ni ml 6.5 kwa anayehitaji 2wasiliane kwa simu 0714107215 au 0714104788
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom