Inategemea unataka kwenda wapi mkuu. I have 1, @40,000 for 16hrs ndani ya Dar es Salaam.
unataka gari aina gani ? unaenda nalo wapi ? je unataka kuendesha we mwenyewe au gari lije na dereva? magari yapo mengi sana .ukitaka kukodi au kununua 0657 145555
asanteni ndugu zangu, mimi natokea arusha nakuja dar kwa kdogo ndo nilikua nataka gari la kuwa nalo huko kdogo, kuna ndugu yangu amenisaidia ila bado shida ipo, je naweza nikapata gari la kutoka nalo usiku? yani nikakod kuanzia ile mida ya jioni ndo tuanze kuhesabiana mida hapo,na ingekua vzur kama ni automatic nataka kudrive mwenyew
gari zipo kaka ila sio rahisi ukapewa uendeshe we wenyewe hasa kwa hiyo mida magari tulio nayo sisi kwa wageni tunawapa wanakuwa na madereva wetu , wenyeji tunaowajua hatuna tatizo naonataka gari ndogo tu yoyote iliyo katika hali nzur na automatic, nataka kutoka nayo usiku, sababu nakuja dar kurelax kdogo, na nataka kudrive mwenyew
gari zipo kaka ila sio rahisi ukapewa uendeshe we wenyewe hasa kwa hiyo mida magari tulio nayo sisi kwa wageni tunawapa wanakuwa na madereva wetu , wenyeji tunaowajua hatuna tatizo nao