Flat inapangishwa Ocean Road kwenye Ghorofa za Usalama wa Taifa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flat inapangishwa Ocean Road kwenye Ghorofa za Usalama wa Taifa.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Makbel, Oct 5, 2012.

 1. Makbel

  Makbel JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 773
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Flat inapangishwa kwenye kota za Usalama wa Taifa barabara ya Ocean Road jirani na hospital ya Ocean Road.
  Kuna Master Bedroom moja, chumba kimoja, Sitting room, choo cha Public pamoja na Jiko.
  Maji pamoja na umeme ni masaa 24.
  Kodi ni Dollar 1,200 kwa mwezi. Kodi inapungua kama utalipia mwaka mmoja na kuendelea.
  kwa mawasiliano zaidi:
  simu: 0717577755
  Email: mac.triple7@gmail.com
   

  Attached Files:

Loading...