Nyumba inauzwa tabata kinyerezi

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Ni milioni 15 na bei inapungua
ina vyumba viwili vya kulala na sebule na sitting room
WASILIANA NA 0652 131653
Spora
 
Mkuu ukubwa wa kiwanja ukoje?, hiyo nyumba ni ya tofali au udongo,? kuna umeme na maji karibu?, iko kwenye ramani ya mipango miji? kuna barabara ya kufika hapo?, pana umbali gani kutoka kwenye barabara kuu?
 
Mkuu samahani sana mimi ni mama so vipimo sivijui nitaomba mtu anipatie vipimo ili nikupatie Kutoka Barabarani ukiteremka kilima ni karibu sana na barabara kuu
Nitakupatia vipimo vya kiwanja na km za kutoka barabarani
Hapo mahali hapana shida hata mvua ikija haitaathirika maana pako juu penyewe.
Pia kuna kisima pembni ya nyumba hiyo ambayo kweli sijaezeeka yote nimeezeka chumba kimoja tu
HAYO NI MANJIBU KUTOKA KWA ALIYENITUMA MDOGO WANGU AITWAYE SPORA
MPIGIE KWA MAELEZO ZAIDI
 
mkuu ukubwa wa kiwanja ukoje?, hiyo nyumba ni ya tofali au udongo,? Kuna umeme na maji karibu?, iko kwenye ramani ya mipango miji? Kuna barabara ya kufika hapo?, pana umbali gani kutoka kwenye barabara kuu?

nyumba ni ya tofali za cement sio tope wala nini kaka ni shida tu imempata mtu anuza
 
shida imempata mpaka anauza nyumba?sehemu gani kinyerezi?

kweli shida yako mpaka uitangaze hapa jamani?
Hii sio sawa kama unataka kujua ni kinyerezi gani naomba umpigie simu mwenyewe alyenituma
mimi ni mleta ombi hili nimetumwa kuleta hapa jamii forums
simu nimeitoa ukiza upate majibu zaidi
 
Mkuu samahani sana mimi ni mama so vipimo sivijui nitaomba mtu anipatie vipimo ili nikupatie Kutoka Barabarani ukiteremka kilima ni karibu sana na barabara kuu
Nitakupatia vipimo vya kiwanja na km za kutoka barabarani
Hapo mahali hapana shida hata mvua ikija haitaathirika maana pako juu penyewe.
Pia kuna kisima pembni ya nyumba hiyo ambayo kweli sijaezeeka yote nimeezeka chumba kimoja tu
HAYO NI MANJIBU KUTOKA KWA ALIYENITUMA MDOGO WANGU AITWAYE SPORA
MPIGIE KWA MAELEZO ZAIDI

Mkuu, kuwa mama siyo sababu nzuri ya kutokujua vipimo. Utakosa mengi mazuri kwa sababu ya kutanguliza u-mama wako. Ukujua vipimo, hautabadilika na kuwa baba. Kujua vipimo, hakufuati jinsia. Na wala siyo jambo la kiume hata kidogo. Ni ushauri tu, next time jitahidi mambo madogo madogo kama hayo yasikupite pembeni eti kwa sababu wewe ni mama.
 
Wa baba oyee!
 
Piga sasa hivi anapatikana spora
nimetoka kumuuliza watu wansema hupatikani anasema labda ni mtandao wa tigo unashida mara kwa mara
 
Jamani samahani wateja nyumba ukubwa wake ni kama ifuatavyo:
Urefu ni meter 21
na upana ni meter 10.30 ndiyo nimepewa na mwenyewe sasa hivi
asanteni na naomba radhi kwa usumbufu
tayari wengine wamekwishakwenda kuapaona wengine nao changamkeni spora anapatikana
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom