Taa ya mbele ya TOYOTA STARLET CARAT

mtzd

Member
Jan 29, 2010
81
25
Wadau habari za muda na poleni kwa majukumu,
Naulizia mwenye kujua zinapoweza kupatikana taa ya mbele ya kushoto ya Toyota starlet model ya carat ikiwa full pamoja na indicator yake.Tafadhali mwenye kujua zinapopatikana au mwenye nayo anifahamishe. ani PM au
0717-128448
 
Back
Top Bottom