Wana JF wenzangu,
mimi huwa sipost sana threads huku, kuna jambo ambalo kuna kidogo linanitatiza, nimefika Munster wiki iliyopita na nitakuwepo kwa wiki mbili, kampani ndio inanipa shida...
Sizijui jina kitaalam ila nliona moja ineandikwa BLOSSOM sjajua ni jina la kampuni zalishi ama ni jina la mashine, but zinatoa hewa moto,na ni nzuri kujikausha baada ya kuoga.Ni kama hand driers...
Wakuu wote katika jukwaa hili heshima kwenu!
mimi ni mjasiliamali mdogo niliyeamua kujiajiri baada ya kuona kazi za kuajiliwa zimekuwa ngumu sana kupatikana. Mimi najishughulisha na utengenezaji...
Wakuu,
Kuna hii tovuti impya imeanzishwa hivi karibuni, automotors.co.tz, inayolenga kumrahisisha mtu kuuza na kununua gari hapa tanzania. Wahusika wa tovuti hiyo wanaomba msaada wako...
Pata huduma ya kushughulikia mchakato wa usajili wa kampuni yako kwa kukamilishiwa taratibu zote (ndani ya wiki 1) na usajili wa NGOs (ndani ya wiki 2). Wasiliana nasi kupitia namba 0714 784154 au...
ni moja kati ya camera ndogo but zenye ubora na hadhi ya juu. Just over 5/8" (16.3mm), 12.1 megapixel 4x
optical zoom lens, 3.5" touch screen LCD, Intelligent Auto,
Smile Shutter, Face...
plot yenye hati ikiwa na heka 8 inauzwa madale heka moja kwa Tshs 15 million. Ni mwendo wa dakika 7 kwa gari au bajaj kutoka bagamoyo road.
Plot hiyo iko baada ya kituo cha polisi cha wazo kama...
Hatimaye filamu ya mwisho ya hayati the greats KANUMBA.Imeshatoka nimebahatika kuiona leo mchana machinga wakiwa wanaitembeza mtani maeneo ya Tunduma.vp mlioiona vp ni nzuri?
i pad 2 nauza 870,000/= na i pad 3 nauza 1,550,000/= no longolongo nakukutumia mtu anakufata unapotaka unaicheck ukiridhia unalipa anakuachia ,made in USA,UR SERIOUS NI INBOX
Hatimaye filamu ya mwisho ya hayati the greats KANUMBA.Imeshatoka nimebahatika kuiona leo mchana machinga wakiwa wanaitembeza mtani maeneo ya Tunduma.vp mlioiona vp ni nzuri?
Pajero IO ina GDI economic kwa ulaji wa mafuta polepole, ya mwaka 1999, imeingia nchini Nov 2011, bei maelewano, ipo katika hali nzuri, imetumiwa na mtu mmoja tu Tanzania, imelipiwa premium...
bb 9300 good condition, charger, 2gb memo for 240000
bb 8520 new, phone only 190000
nokia n900 good condition with screen protector, cable, charger for 300000
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.