Tahadhari kwa Wanaouziwa Viwanja Ufukweni Eneo la Kimbiji Eneo la Ufukwe *IMETOLEWA*

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Tahadhari kwa Wanaouziwa Viwanja Ufukweni Eneo la Kimbiji Eneo la Ufukwe *IMETOLEWA*
tahadhari kwa wale wanaotangaziwa kuuziwa Viwanja vya Ufukweni eneo la Kimbiji. Wanunuzi kabla hawajanunua viwanja hivyo tafadhali unaombwa kwanza kuwasiliana na Ofisi Serikali ya Kijiji au Ofisi ya Katibu Mtendaji Kimbiji, ili ujue uhalali wa umiliki wa muuzaji. Pia mnashauriwa kuwasiliana na uongozi wa Kijiji Kimbiji ama Diwani kwa simu namba 0713768082 na Mwenyekiti kwa simu 0713846688 kwani viongozi wa kijiji wanayajua vema maeneo na wamiliki halali wa maeneo mengi ya hapa
 
Back
Top Bottom