Pata Samsung Galax bei poa

Pata Samsung Galax bei poa

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
100
Kama unataka Samsung Galax
Bei poa tsh 600,000 mpaka 550,000 nicheck kwny no_ hii plizzz...
0714-074040
Wahi kabla hazijaisha zimebaki chache.
 
Ulivyokuja utadhani muuza bange!!chapchap chapchap,galaxy ipi?upo wapi?specifications nk! Unaogopa polisi?umeiba?
 
atakuwa ni mwizi tu!!!!!! aaaah!!!!! natania usikarike du! hutaniwi
 
atakuwa ni mwizi tu!!!!!! aaaah!!!!! natania usikarike du! hutaniwi
Sio nisikarike ni nisikasirika
Sijakasirika biashara inabidi kuvumilia yote upate unayotaka.
Ni Samsung Galax s. Gt 19000.
 
Hapo kidogo fresh!!nahitaji galaxy111 mshkaji wangu,upo maeneo gani? Hata kama ya wizi jitahidi kufanya biashara kama ya halali vile! Kibongobongo haina haramu!!si unajuaga man?
 
Weka picha humu mkubwa wengine ni kina TOMASO mpaka tuone we vp? au ndo za wizi?
 
Back
Top Bottom