Starlet...kwa mil 5.

Starlet...kwa mil 5.

Ibrahim K. Chiki

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2011
Posts
594
Reaction score
163
wadau...kwa mwenye uwezo/nafasi ya kuweza nisaidia nikapata hii gari Toyota Starlet ilyo katika hali nzuriii nitashukuru sana wadau.
 
Kiongozi, unaweza kuongeza kidogo nikakupatia Toyota Vitz CC 900, ya mwaka 2001 Registration ni BER. Milango minne. Inbox me kwa maelezo zaidi na picha
 
wadau...kwa mwenye uwezo/nafasi ya kuweza nisaidia nikapata hii gari Toyota Starlet ilyo katika hali nzuriii nitashukuru sana wadau.

toyota starlet ya nini wewe? washaacha kuzitengeneza.....
Nunua vitz au IST
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom