Khabari wanajamii! kiwanja kinauzwa tegeta wazo, kimepimwa kina hati na kipo kwenye eneo lililojengeka kwa mpangilio,
kiwanja kina ukubwa wa sqm 2065, miundo mbinu ya maji, umeme na barabara ipo...
khabari wanajamii! kuna nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya tegeta kibaoni, nyumba imekamilika yaani [gypsum, tiles na madirisha ya alminium] nyumba ina vyumba 3 master1 public toilet, jiko...
hp pavilion dv6000 for sale.ina 4gb ram,250 hard disk,ipo ktk hali nzuri sana ila ina tatzo la betri ukiwa poa waweza kuncheki kwa 0713 806 766.price 550000.
khabari wanajamii! kuna kiwanja kinauzwa bagamoyo ukuni block 4, kiwanja kimepimwa kina ukubwa wa sqm632, huduma
za maji na umeme zipo bei yake ni ml 8. kwa mhitaji piga 0714 107 215 au 0714104788
Nauza used desktop (with CRT) zenye RAM 2 GB, HDD 160 GB, PROCESSOR 3.0 For only 250,000 tsh.
Pia RAM 1 GB za desktop zipo for only 30,000 tsh.
Vyote vipo market in a superbu condition. Kama uko...
Nyumba inauzwa maeneo ya Kinondoni Mkwajuni Jirani na kituo cha Daladala cha Mkwajuni.
Nyumba ina hati na ina eneo zuri kwa biashara mbali mbali.
Bei ni Milioni 60 pia maongezi yanakaribishwa.
Kwa...
Nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya tegeta masaiti, nyumba ina master1 kubwa, vyumba3, sebule kubwa, dining, jiko la kisasa, public toilet, fensi, tiles, garden, maji na umeme vipo bie yake...
Ndugu wan JF naomba msaada kwa yeyote yule anayefahamu sehemu ambayo ina mashamba ya umwagiliaji kwa mikoa ya Dar es salaam na Pwani nahitaji kuanzaisha kilimo cha umwagiliaji wa mbogamboga...
Kiwanja kiko Kibamba ni nusu eka, hakijapimwa ni kizuri kwa ujenzi wa nyumba na kuna umeme karibu na maji ya bomba kama utahitaji kutumia hizo huduma. Muuzaji ni mimi mmliki wa kiwanja na sababu...
Wapi ndani ya jiji la dar naweza kuwapata watengenezaji/wauzaji wa mifuko ya size mbalimbali kwa ajili ya kupaki bidhaa za aina mbalimbali kama mchele, maharage, vitunguu. Zaidi zaidi nataka...
Eneo zuri lenye ukubwa wa heka 2 linauzwa maeneo ya Kimbiji Kigamboni (35 km from Kigamboni Ferry) karibu na Kidagaa Beach, eneo la Mikenge.
Ni shamba zuri ambalo lipo mita chache kutoka ufukwe...
Habari wana JF.
Mimi ni kijana ninayeanza ujasiliamali, na hivi karibuni nimeanzisha biashara ya M-pesa na nafaka hapa Iringa. Napata wateja wengi sana kuliko uwezo wa mtaji wangu, nahitaji...
wadau naomba mnijulishe; Je kuna mahindi maalumu ya kutengezea bisi za biashara (yaani kuuza)?
Kama kuna mahindi maalumu yanapatikana wapi kwa bei gani?
Kiko maeneo ya tegeta njia ya kwenda wazo wanaita tegeta kwa makamba...ni eneo zuri,maji na barabara pouwa..nauza kwa vile uwezekano wa kurejea bongo kwa wakati huu ni mdogo...ukubwa ni nusu eka...
Jamani nahitaji kununua samsung galaxy tab online toka china. Naomba mwenye ufahamu juu ya online shopping anisaidie ni website gani ambayo ni reliable coz scammers nao ni wengi siku hizi.
Kwa yeyote anayejua source au origin au yanakotokea (mkoa, wilaya hata ikiwezekana vijiji maarufu kwa kilimo cha) matikiti na mapasion yanayoletwa hapa Dar es salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.