Nitakulipa Tsh Laki 1, 2, 3.. Million 1, 2, 3 na zaidi CASH.....Kama ukinisaidia biashara hii. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nitakulipa Tsh Laki 1, 2, 3.. Million 1, 2, 3 na zaidi CASH.....Kama ukinisaidia biashara hii.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Senior Boss, Oct 17, 2012.

 1. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wakuu,

  Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi na nina kampuni ya usambazaji ya bidhaa mbali mbali. Nilikua natafuta watu wa kunisaidia kutafuta soko za rangi za kupaka kwenye mabati...(PVA roofing paints) zenye ujazo wa litre 20 kwa ndoo.....Mimi hiyo rangi naiuza kwa Tsh. 100,000 bei ambayo iko fair sana ukilinganisha na maduka mengine ya hardware wanauza Tsh. 120,000 mpaka Tsh. 130,000. Hivyo basi nitamlipa mtu commision ya Tsh. 10,000 kwa kila ndoo ya rangi tutakayouza cash...papo kwa hapo...haraka baada ya mauzo kufanyika !! Ninapokea order za ukubwa wowote....Receipts, Usafiri (kama utapenda) na kila kitu kinatolewa kuhakikisha biashara inafanyika vyema !!

  Mahala:

  Tupo Dar Es Salaam na tuna matawi ya kutosha hapa jijini.....Kwa wale wa mikoani pia tunakuuzia na tunaweza tukakusaidia huduma za usafirishaji.

  Contact:

  My Sales Manager
  0717-100655


  Karibuni Sana.
   
 2. Denis denny

  Denis denny JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 7,289
  Trophy Points: 280
  je naweza kuwa agent wa biashara yako
   
 3. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Ruksa kabisa...mi nachotaka kazi ifanyike !!
   
 4. M

  Mgoda simtwange Senior Member

  #4
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 158
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  kwikwikwikwikwi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  Senior Manager umerudi tena na mambo yetu yaleeeeeeeeeeee.
   
 5. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Huo ndio ujasiriamali.tutakuchek ngoja tuingie mtaani kusaka wateja
   
 6. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ajira hiyoo, hapo lazima nikamate laki 3 zangu..
   
 7. N

  Nzagamba Yapi Senior Member

  #7
  Oct 17, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu nipm,ni mtalaam wa distribution nipo mza, kanda ya ziwa nimeikamata vilivyo,nipe jina la brand yako na masharti yako pia

  Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
   
 8. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #8
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hiyo imetulia mkuu, waache vijana wachakarike sasa, watafute pamba na mengineo...
   
 9. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #9
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Brand ni Kiboko Paints....mtakua mnaifahamu na kuisikia fika hiyo brand.....Masharti kila kitu nimeeleza hapo juu !!! Karibu Sana !!
   
 10. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #10
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Senior Manager, unauza pia kwa reja reja? Nahitaji ndoo kadhaa tu kwa matumizi ya Nyumba yangu.
  Tupatie location ya showroom/ofisi au yaliko maduka yenu.
   
 11. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #11
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Senior manager kama ninaweza kuwa wakala wa biashara yako nipm niko arusha. Nina eleo la kufanya hiyo biashara.
   
 12. Senior Boss

  Senior Boss JF-Expert Member

  #12
  Oct 18, 2012
  Joined: Aug 19, 2011
  Messages: 3,285
  Likes Received: 2,023
  Trophy Points: 280
  Nimeku PM detail zote mkuu....Karibu sana !!
   
 13. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Thanks Mkuu, nimeone PM na nime reply.
   
 14. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Mkuu je hii rangi inaweza kudumu juu ya paa kwa muda gani?
  Na inasemekana ukitaka paa la nyumba likamate rangi vizuri usubiri lipate kutu,Je kitaalam unashauri je?
  Nina kibanda changu kidogo nataka kupiga rangi ya sky blue kwenye paa hivyo nahitaji muongozo wako kama inawezekana kwa kunijibu maswali hayo hapo juu.

  Thanx.
   
Loading...