Wanunuzi wa Kuni wanahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanunuzi wa Kuni wanahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by ROKY, Oct 20, 2012.

 1. ROKY

  ROKY Senior Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hi wana JF wote,

  Natafuta wanunuzi kuni za jumla.

  Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
  Eneo zinapopatikana kuni hizo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
  Bei ya kuni ni sh. 150,000 kuni zikizojaa kwenye fuso au canter (tani 3), maongezi pia yapo.

  Wana JF nawasilisha.
  Pia naomba mnipe contacts za wanunuzi wanaoweza kununua kuni hizo kwa jumla.

  Mawasiliano yangu ni:-

  Voda 0754-310981
  Airtel 0789-310981
  Tigo 0658-310981

  Thanks in advance.
   
 2. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Safi sana, nasikia kuni za huko ni nzuri sana, haziishi haraka wakati wa kupikia kwasababu ni za miti ya asili.
   
 3. ROKY

  ROKY Senior Member

  #3
  Oct 21, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Thanks Mu-Israeli,
  Watu wote wanaohitaji kuni kwa wing wawasiliane na mimi.
  Kuni ni nyingi na nzuri za miti ya asili.
  Karibuni wote mpate kuni nzuri sana.

  Kuni hizo zinapatikana kutoka miti ya msitu huu hapa.[​IMG]
   
Loading...