Nauza voucher kwa wenye kipato kidogo . Gezaulole | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza voucher kwa wenye kipato kidogo . Gezaulole

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Aug 16, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Wakuu nina vocha za sqm 400, na 500 kwa ajiri ya njoo nikuunganishe ukalipie upate kiwanja cha . sehemu ni gezaulole kigamboni bei ni 3.5m . ukiisha lipia utaambiwa kiko sehemu gani na block gani na hati itaandikwa kwa jina lako , ( mimi ni dalali MJUMBE HAUWAWI utanipoza kidogo 0778 625039 Akiri)

  na zipo za sqm 1200 na kuendelea nitakuunganisha nao .
   
 2. j

  julisa JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ya 1200 ni kiasi gani?
   
 3. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #3
  Aug 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,392
  Trophy Points: 280
  Fafanua,
  3.5Mil ndio total cost??

  Au hii nalipia vocha tu then serikalini (Tshs 8,000/m2) nalipia mwenyewe kwa hela ingine?!
   
 4. A

  Akiri JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hiyo ni total cost unalipa serikari na jamaa anachukua kidogo
   
 5. A

  Akiri JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  kipo cha sqm 970 jamaa wanataka 14m hapo ni kila k2 . kuna sqm 2036 wanataka 25m . kuna sqm 600 anataka 4.5m hizo bei ni kwamba ktk pesa unayotoa ndiyo hiyo inalipwa selikarini na anabaki nayo mwenye vocha . hizi ni gharama za ujumla
   
 6. A

  Akiri JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ktk hii pesa kuna nyingine italipwa selikarini na nyingine anachukua mhusika kama faida 0657 145555
   
 7. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #7
  Aug 17, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  hapo kwenye red ndipotatizo lilipo; kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
   
 8. A

  Akiri JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Acha upumbavu. kama hujua uliza siyo busara kuchangia k2 usichokijua vema. vocha zote zinazotoka zimetoka kwa kufuata majina ya watu hizo vocha zililipiwa Tsh 20,000/ hakuna vocha ambayo haina jina sasa huyu mwenye vocha anapoiuza mnunuzi anambanisha vocha na mkataba wa mauziano . mnunua wa vocha analipa gharama zinazohitajika na serikali na serikali watampatia hati ambayo itakuwa na jina la mnunuzi wa vocha ambayo itaonesha namba ya uwanja na namba ya block na muda wa hiyo hati. hakuna udanganyifu wa namna yoyote na ukiona haridhishwi na mazingira ya biashara unaacha.
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  HAPO MIMI PIA NIMESHIKWA KIGUGUMIZI NIKASEMA NGOJA NIENDELEE NIONE KAMA KUNA ALIYESHTUKIA YES YOUR GREAT THINKERS KWA AKILI ZANGU NA WEWE SIO RAHISI KUIBIWA MJINI ONA WATU WANAVYOPAPATIKA HAPO JUU Jibaba Bonge
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. A

  Akiri JF-Expert Member

  #10
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  ni kweli akiri akiri zenu zinafanana na pia inawezeka hamna chapaa tee ya nguvu , mpaka sasa watu 7 wamekamilisha biashara hayo mengine yanaweza kuwa makosa ya uandishi . nimewakubali nyie ni great thinker . na great thinker hawahitaji kumiliki aridhi
   
 11. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #11
  Aug 17, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
   
 12. A

  Akiri JF-Expert Member

  #12
  Aug 17, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
   
 13. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 759
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Akiri tupe updates umefikia wapi na investment yako? Naona threads za mwisho kabla sijapost yangu watu walianza kutilia mashaka style ya biashara yako, hivyo ni vyema ukatupa mrejesho.
   
 14. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,140
  Likes Received: 7,392
  Trophy Points: 280
  Tatizo umemjibu kwa kukurupuka kaka.
  Wajua wauza kwa style ya;
  1)kulipia Kwanza
  2) Kisha nije kuona eneo, which may be a bonde, mlima, mto, n.k.

  Ungeweza tu kumjibu kua tunaweza tuka-reverse processes ikawa ni
  1)Kukagua kiwanja physically, 2)kuhakikisha na kuthibitisha uhalali
  wake
  3) Kulipia.

  Ni ushauri tu kaka yangu.
   
Loading...