Niauza kiwanja changu

Kariba1

Member
Aug 20, 2012
75
4
Khabari wanajamii! nina kiwanja changu nakiuza kiwanja kipo maeneo ya tegeta wazo mtaa wa umoja road, kiwanja kina ukubwa wa mita 35 kwa 40 bei yake ni ml 13 miundo mbinu ya umeme, maji, barabara ipo kiwanja kinatazamana na barabara ya mtaa ni eneo zuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi na fremu za biashara kama ukipenda. kwa anayehitaji please 2wasiliane 0714 107 215, dalali hatakiwi
 
Million 13 kiwanja cha TEGETA ambapo kila siku migogoro haiishi HAPANA bana labda waje wengine mie nimenunua Chamanzi tena heka kwa milion 4 na huko foleni kama unavoona ni historia
 
Kariba una kiwanja wewe?umekitoa wapi???sema mimi ni dalali nauza kiwanja tegeta mil 13 ambayo sina uhakika sana kama ndio bei yake itakuwa bei ya mwenyewe ni 10m hiyo tatu umeongeza wewe,na kwa tegeta kiwanja bei rahisi hivyo lazima kina mgogoro au umeamua kuuza eneo la wazi,madalali mnachoshaaaaa
 
U just hit it right. Nimeipenda hii
 
Khabari wanajamii! nina kiwanja changu nakiuza kiwanja kipo maeneo ya tegeta wazo mtaa wa umoja road, kiwanja kina ukubwa wa mita 35 kwa 40 bei yake ni ml 13 miundo mbinu ya umeme, maji, barabara ipo kiwanja kinatazamana na barabara ya mtaa ni eneo zuri kwa ujenzi wa nyumba ya makazi na fremu za biashara kama ukipenda. kwa anayehitaji please 2wasiliane 0714 107 215, dalali hatakiwi

Kimepimwa? Kiko upande gani? Upande wa kiwanda cha wazo au updande mwingine? Kipo Mivumoni au Madale?

Kama kimepimwa, Kipo upande mwingine wa wazo sio wenye kiwanda, na huvuki maduka saba . Ni PM nakupa Million 10 Kesho. Nipe simu yako.
 
kiwanja bado hakijapimwa kipo umoja road for serious buyyers contact me 0714 107 215
 
Duh hapa dar tena teegeta hiyo bei

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Million 13 kiwanja cha TEGETA ambapo kila siku migogoro haiishi HAPANA bana labda waje wengine mie nimenunua Chamanzi tena heka kwa milion 4 na huko foleni kama unavoona ni historia

Ngoja mtu ajichanganye halafu miaka miwili baadae unamuona Ponda na jamaa zake wanakuja kuvunja uzio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom