Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wakuu, Nna laptop hiyo HP kwa Tshs 650,000/= ina specification kama ifuatavyo: Hard Drive: 320GB Ram: 4GB Processor Speed: 2.4 GHZ Core i5(Intel) Optical Drive: DVD-RW Bluetooth, Card...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nyumba inauzwa maeneo ya sinza mitaa ya mwaibula.bei ni 200milion kwa mawasiliano zaidi piga number 0715-754321.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
heshma kwenu wakuu,,, natafuta kiwanja maeneo ya njiro, prefarabbly eneo lililopimwa, lililopo ndani ya manispa,,, anywhere in njiro, corona, kwa msola, gorofa mbili..kokote pale wakuu.... Average...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nokia X2-01 na Nokia X2-05 kwa tshs. 160,000/= kila moja. Zinasupport Whatsapp Tuwasiliane 0655 003510
0 Reactions
0 Replies
1K Views
it is new in box with all accesoriess goes @ $800 or 1,280,000 tsh. I'm available in Dar es salaam, call/sms/whatsapp me on 0714319384
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Dear Friends, I am looking for Marketing Managers in the companies/organization/Hotels listed below; kindly share with me their contact details just in case you have and feel free to introduce...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Good staff for best price Nokia lumia 710 laki 350,000 na samsung 130,000 brand new.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mwenye contact zozote za kampuni binafsi inayojishughulisha na ununuaji wa madini hapa dar?nahitaji mawasiliano nao
0 Reactions
0 Replies
890 Views
salaam HTC one x brand new inauzwa .. anyone interested pls contact to 0785699994.
0 Reactions
2 Replies
894 Views
BAR GEST HOUSE NA UKUMBI VINAPANGISHWA GEST: Ina vyuma 11 self kontena 6 na vyumba vya kawaida 5 vyoo 2 na mabafu 2 nyumba nzima ina marumaru mpaka chooni. BAR: Ina uwezo wakuchukua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bar,gest na ukumbi vinapangishwa mahali Temeke boko juu ya umanja wataifa ukipita ofi za wilaya Temeke Maelezo gest - inavyumba11 self contena navi5 vyakawaida vyoo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kipo cahmazi karibu na bara bara kubwa ya lami bei yake ni milion 18, na vipimo atakwambia mwenyewe kwenye namba hii ninayowapa: 0179 -093 251
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari zenu wakuu!kuna eneo zuri la biashara linapangishwa eneo la mbagala saba saba opposite na st.anthony secondary school pemben ya barabara,ni kubwa kwa anaepajua ni zile fremu zote...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
nina mill na laki 1 ni pm
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Galaxy Tab 7.7 hiyo ina sehemu ya kuweka line ya simu mtandao wowote inaenda kwa TZS. 750,000/= iko katika condition nzuri kabisa bila scratch, imported kutoka nje. Namba yangu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapi wanauza Solar Power kwa bei nafuu Dar?Vifaa viwe complete yaani... 1.Panel 2 za watt 40@ 2.betri dry cell 1. 3.solar power control 4.inverter 5.wires and bulb then itagharimu kiasi...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
habarini Wadau Naomba kama naweza pata chumba cha kupanga Maeneo ya Chuoni Mzumbe au Hata mwenye Number ya Dalali Anisaidie. Asanteni Sana.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji nyumba ya kupangisha, chumba sebule na choo ndani, dar
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Make: Toyota Model: CARINA Model number: AT212 Year of manufacture: 1999 Engine No: 5AF01230 Price: TZS 9,500,000 (Negotiable!!) Location: Mwanza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom