Nahitaji kujua Fundi wa Ps2 na Ps3.

Nahitaji kujua Fundi wa Ps2 na Ps3.

NickFatz

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Posts
224
Reaction score
8
Kama mpo u can reach me kwenye hii numba +255 756 412 337 Tuongee Business.
 
nenda kituo cha mabasi mtaa wa kongo kariakoo... Upande wa mabasi ya kutoka mnazi mmoja,.. Jengo/jirani na duka la uhuru computers... Ulizia wanapouza/tengeneza/chip playstations ... Huwezi potea.. Pale koridoni tu utaona padi na game kibaaooo ukutani,.cheki na majamaa wale
 
Kuna jamaa anaitwa Calipso ilala ni mzuri,, shuka ilala boma ulizia calipso, also kuna mwingine muhindi yupo near by Mussa telecommunications maeneo ya fire na msimbazi nae yupo vizuri... Kuhusu ps3 nenda sony shop posta, wanaichek na kama ipo ndani ya warranty na unayo warranty card yake unalipia usd 50 tu za usafiri, wao wanaisafirisha to sony repair centre african division ipo south africa baada ya siku 35 unaifata game yako hapo hapo,,, kama warranty imeisha unalipia gharama za ufundi usd 70 plus shipping cost usd 30
 
Back
Top Bottom