Umeshaambiwa bongo tambarare. Walioko nje ya nchi siku zote wanapigiwa kelel hapa jamvini warudi bongo. Kulikoni?kama unahitaji kutafuta maisha upande wa pili wa shillingi jiunge nami tukianza kwenda south maana nnandugu yangu pande hizo,ni mawazo tu jamani kama huitaj kaa kimya kama unahitaj nipm