Shamba linauzwa lipo kibah, mlandizi.

Shamba linauzwa lipo kibah, mlandizi.

ngogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
359
Reaction score
54
Shamba hilo lipo MLANDIZI Bagamoyo road, hekari 15 kila hekari ni Tsh 2,000,000/ lina mikorosho, miembe na minazi kwa maelezo zaidi piga 0717000990 au 0764434673 au majutongozi@gmail.com
 
Usikute na langu la kule miswe mbona mleta maada haji kutoa ufafanuzi hata wapi mlandizi bagamoyo road ni parefu ni wapi hasa vikuruti, miswe,mihande.
 
Mimi nahitaji heka 100 iwe barabarani...maeneo kibaha hadi mlandizi fasta fasta nitafueni kwa number hii 0713935738
 
Na picha zao kabisa tena coloured, ukirudi mirembe nitakutumia picha zao.
 
Back
Top Bottom