Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Make Scania Model 93 HP 280 Year 1995 Km 460.332 Bei Milioni 33 gari hiko kwenye hali nzuri, gari inayouzwa ni hicho kichwa kinachosomeka 93/280, inauzwa bila ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wadau! Wandugu natafuta informationza za soko la dagaa wa chakula cha kuku!kwenye mikoa ya Mbeya, Iringa n.k. Soko lake likoje huko? Wanunuzi haswa ni kina nani? Wafugaji, watengenezaji au...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mbweni JKT near NHC quarters, Medium density, title deed available, electricity and water supply available, Contact 0767 691636. No middlemen
0 Reactions
2 Replies
865 Views
Nauza panasonic tv/monitor 50 inch kwa 1.3m,for serious buyers only call 0718576505
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Napangisha kwa mkataba wa miezi sita, na kodi kwa mwezi ni tshs. 100,000/=, ina tiles ndani ya chumba na nje ya kibaraza. Ina mlango wa kioo wa kuslide ipo mtaa wa changombe inatazama bara bara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama majibu ni ndiyo tuwasiliane . tunazo apartment za kuuza katika maeneo ya kariakoo, upanga , masaki na mikocheni. pia tunayo maeneo ya kuweka ATM machine katika hayo maeneo. kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
hii nyumba ipo mbagala chamazi. ipo ktk eneo salama kwa makazi ya watu . kama utanunua kama ilivyo utauziwa Tsh. 25m na kama utataka ikamilike kwa kila kitu utauziwa 35m. nyumba ina vyumba 4 vya...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Unadhani itakuwa ni nini? Ni Maji. Ndiyo, kwani maji si UHAI?. Bonyeza hapa: http://maajabuyamaji.net/2012/10/01/jitibu-kwa-kutumia-maji/
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza generator ni mpya watt 950, volt 12 nipo dar mwenge, bei maelewano
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamu kodi za magari haya, mpk kuliweka barabarani: 2005 Toyota Mark X, 2400cc, 2004 Toyota Verossa, 2000cc, 2004 Toyota Camry, 2005 Audi A4, 2000cc. Nimeshindwa kutumia kikokitoo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza nokia E51 kwa bei ya kutupa laki moja tu. Kama hupo tayari nicheki kwa 0713218388
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Escudo ipo kwenye hali nzurii sana mnakaribishwa m6
0 Reactions
11 Replies
2K Views
hello, nahitaji kununua a 1996-1999 toyota rav4. must be well maintained with service records, low milage B..onward Registration bajeti yangu ni 9.5m waweza ni PM whatsapp 0787887701
0 Reactions
3 Replies
958 Views
Ni Pm or call +255 756 412 337
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Make- Toyota , Model- RAV4, 2003 Color- pearl, Engine capacity- 1.8cc,vvti Mileage- 157,000, Condition- Just imported from Japan, not used in Tanzania at all, not registered and in great...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
WAKUU MLIOPO IRINGA TOWN, NATAFUTA CHUMBA CHA KUPANGA KIWE ATLEAST JIRANI NA RUCO, KUHUSU BEI KISIZIDI ELFU 50. MSAADA TAFADHALI, contact 0652 545478
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, I nid mkopo wa just 1mil. kwa interest ya 20%, narudisha mwisho wa mwezi huu wa october.Sitaki urasimu, individuals interested antumie msg.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
heavy duty photocopy machines for sale slightly used from uk. call:0713656256
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa nilikuwa na picha kwenye Camera ya digital(Sanyo)ilikuwa na picha ambazo ni muhimu sana na zimebeba historia yangu na familia kwa miaka mingi ijayo ni bahati mbaya kuna mtu aliingiza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
sold sold sold sold sold sold sold
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom