Salaam zenu wadau, ngependa kujua kama kuna uwezekano wa kupata hii samsung s3 kwa bei nafuu na wala sichagui rangi...mnaweza kuni PM au 0712859798
Ahsanteni kwa ushirikiano
WE ARE PROFESSIONALS IN GSM INDUSTRY FOR THE FOLLOWING SERVICES
UNLOCKING ANY GSM PHONES
IPHONES
NOKIA
SAMSUNG
ALCATEL
BLACKBERRY
UNLOCKING ANY GSM MODEM
ZTE
HUAWEI
VODAFONE...
Hijakamilika ina vyumba vya kulala vitatu, jiko, sebure na sehemu ya meza ya chakula. Ukubwa wa kiwanja mita 25 kwa 30. Bei 35mil. kwa maelezo zaidi piga simu 07171114409
320 gb hard disc
2.5 ghz processor
2 gb ram. Bei ni 520,000/- zipo kibao, ni mzigo kutoka dubai unapitia zanzibar ndomana bei yake ipo chini. Kama upo interested ni PM
Habari wana jamii wenzangu!? Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya Kijitonyam au Makumbusho.
VIGEZO:
1.chumba na sebule na choo ndani,ikiwa na kispace cha jiko ntafurah zaid
2.kiwe ndani ya...
Ndugu yangu anatarajia kuja kutembea Dar kikazi. Atakuwa Dar Kati ya tarehe 1.12-10.01.2013. Kwa mwenye apartment au nyumba ambayo IPO furnished aniPm.
Gari aina ya Isuzu Trooper yenye namba za usajili T.133 BQK inauzwa..! Gari iko Kunduchi Dar es Salaam..!
Ni Manual
Mwaka 1997
Seven seats
3.1 CC
Bei ni 17.5 M ( Maelewano yapo)
Kwa...
Del Benman(T)ltd ni kampuni yenye Architects,Civil & Electrical Engineers na Quantity Surveyors ambao wanatoa huduma za Archtectural designs,structural designs,electrical designs,cost...
WHAT UNBELIEVABLE PRICE!!! A three bed-roomed house including a self contained master bedroom standing on a land of 1200 sqm is on immediate sale! This home which requires minor remodeling and...
Natafuta soko la asali kwa wakazi wa mikoa ya morogoro, dareslam na pwani....
Napatikana SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE....
Email:ismailerick@gmail.com
ps3-320GB good condition one controler free cd of your own choice (550,000)
psp-16GB,white goood condition charger free games (7). (300,000)
contact me thru: 0656211999
atakaye...
Good People,
Awali ya yote nawashukuru Nyote kwa michango yenu.
Nataka kufanya subscription ya kuwa napata gazeti la serikali (Government Gazette) kila linapotoka. Je, kuna mtu anaweza kunijuza...
KUNDUCHI BEACH HOME FOR SALE!!!! All three bedrooms are self contained with excellent designs on a land of 1200sqm! Work to Kunduchi Beach Hotel and enjoy the beach ambience from this property in...
Toyota Verossa For sale.
Iko kwenye very good condition no dent or body paint.
Mileage: 72,500Km
Year: 2002.
Engine size: 1988cc
Color: Silver.
Bei: 18M
Kwa anaye hitaji please contact...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.