Iphone factory unlock for only tshs. 55,000/=

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Wakuu nafanya online factory unlock kwa iphone zooote kwa bei rahisi compared na zile za wahindi wa posta. 100% refund kama kutakua na matatizo.

Wasiliana nami kwa:
0655003510 au baraka607@gmail.com

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
mkubwa hiyo 55,000/= ni kwaajili ya iPhone zilizofungwa na At&t tu au ni carrier yeyote including "Verizon, Sprint, Orange etc...????
 
unapatikana wapi kaka nipo na iphone 4 yangu imepigwa pini toka uk
 
Mkuu hiyo pesa hapo juu ni kwaajili ya AT&T USA, kwa hizo nyingine bei ni tofauti kidogo ila nafanya unlock ya mtandao wowote wa nje na utatumia simu yako bila matatizo yoyote.
mkubwa hiyo 55,000/= ni kwaajili ya iPhone zilizofungwa na At&t tu au ni carrier yeyote including "Verizon, Sprint, Orange etc...????

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Wasiliana na mm kaka ili unipatie imei namba yako niweze kujua kwa uk imefungwa na mtandao gani hapo nitaweza kukwambia gharama ya unlock yako. Karibu sana
unapatikana wapi kaka nipo na iphone 4 yangu imepigwa pini toka uk

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
mkuu factory unlock ufanyika kiwandani na mtengenezaji wa bidhaa wewe unalofanya ni non-factory unlock
 
Usiongee kitu usichojua maana yake' unajua maana ya factory unlock ww? Ngoja nikusaidie, factory unlock ni kwamba utaweza kureceive updates toka kwa manufacturer na bila kuvoid warrant ya simu yako. Non-factory huwezi pata updates toka kwa manufacturer. Kwahiyo kama ulikua hujui sasa unajua.

Inawezekana kweli I was wrong about that mkuu kwakuwa I thought it this way

Factory unlocked means the iPhone
is legitimately unlocked by Apple. Non-factory
unlocked means iPhone was originally locked
when purchased, but was later unlocked using
hacking technique. Non-factory unlocks are
usually less stable and would be re-locked when upgrading the firmware. What is the difference between factory unlocked and non-factory unlocked iPhones? - SmartFaqt: FAQ Evolved
How to verify factory unlock and non-jailbreak when buying used iPhone - MacRumors Forums
mkuu factory unlock hata ui update firmware yake mara ngapi itabaki unlocked jambo ambalo ni non-factory unlocked by using softwares na hacking techniques.
If I am wrong I stand to be corrected.
 
Mimi situmii software yoyote na ndo mana kabla sijaunlock simu yako ni lazima nisubmit IMEI namba ya mteja kwa apple wenyewe kuverify kama simu haina issue yoyote kama kuibiwa na vitu kama hivyo. Na wanaoproccess hizo unlock ni apple wenyewe. Lkn sikulazimishi kukubaliana na mm ila ukweli uko ivo na hii kazi sijaanza leo wala jana boss. Nnavokwambia factory unlock unareceive updates inamaana kwamba hata ukiupdate firmware mfano kutoka iOs 5.1.1 to iOs 6.0.1 bado simu yako itakua unlocked ila kama ilikua ni non-factory unlocked ukiupdate firmware simu itajifunga tena.
Inawezekana kweli I was wrong about that mkuu kwakuwa I thought it this way

Factory unlocked means the iPhone
is legitimately unlocked by Apple. Non-factory
unlocked means iPhone was originally locked
when purchased, but was later unlocked using
hacking technique. Non-factory unlocks are
usually less stable and would be re-locked when upgrading the firmware.
mkuu factory unlock hata ui update firmware yake mara ngapi itabaki unlocked jambo ambalo ni non-factory unlocked by using softwares na hacking techniques.
If I am wrong I stand to be corrected.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk
 
Mimi situmii software yoyote na ndo mana kabla sijaunlock simu yako ni lazima nisubmit IMEI namba ya mteja kwa apple wenyewe kuverify kama simu haina issue yoyote kama kuibiwa na vitu kama hivyo. Na wanaoproccess hizo unlock ni apple wenyewe. Lkn sikulazimishi kukubaliana na mm ila ukweli uko ivo na hii kazi sijaanza leo wala jana boss. Nnavokwambia factory unlock unareceive updates inamaana kwamba hata ukiupdate firmware mfano kutoka iOs 5.1.1 to iOs 6.0.1 bado simu yako itakua unlocked ila kama ilikua ni non-factory unlocked ukiupdate firmware simu itajifunga tena.

Sent from my BlackBerry Bold Touch 9930 using Tapatalk

Pamoja Mkuu nimekusoma sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom