natafuta proffesional camera ya still puctures

Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
896
Points
500
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
896 500
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati
 
NEXTLEVEL

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Messages
863
Points
500
NEXTLEVEL

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2012
863 500
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati
Hi, mimi ninayo CANON 40D PROFESSIONAL CAMERA naiuza coz nimenunua CANON 60D bei poa 800,000 maelewano yapo lakini FLASH LIGHT yake wameniibia.

CANON.jpg
 
Biohazard

Biohazard

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
2,018
Points
1,500
Biohazard

Biohazard

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
2,018 1,500
Ninayo Canon Mark II 5D naweza kukuuzia kwa milioni 4 Body pamoja na Lens ya 70-100mm bila flash. Kama unataka professional camera kweli. Na hii camera pia inafanya HD videos na ndo inatumika sana kufanya videos mamtoni.Hii ni movie moja wapo ambayo wametumia hii camera

Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
896
Points
500
Architect E.M

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
896 500
Ninayo Canon Mark II 5D naweza kukuuzia kwa milioni 4 Body pamoja na Lens ya 70-100mm bila flash. Kama unataka professional camera kweli. Na hii camera pia inafanya HD videos na ndo inatumika sana kufanya videos mamtoni.Hii ni movie moja wapo ambayo wametumia hii camera

asante boss,,, lakini hii ni kubwa saaana mkuu,,, this is extra proffesional.... Na bei yake pia ni toooo much out of my budget
 
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Messages
523
Points
0
TZ biashara

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined Mar 9, 2012
523 0
za kazi wadau,,, natafuta digital camera, a proffesional one, preffarably sony, or canon.. Mwenye kufanya biashara za kuuza camera, tafadhali changamkia hiyo... Natanguliza shukrani za dhati
Mkuu habari za kazi.Mimi huwa nauza Camera za kutokea Uingereza na kuna mzigo upo njiani nategemea katikati ya wiki hii utafika.Sasa kuna Sony Alpha Pofessional A200 10.2MP Digital SLR Camera.Nauza pamoja na Lens SIGMA 70-210 mm F4/5.6 Auto focus Zoom Multi coated Lens,Compact Flash Memory Card 4GB pamoja na charger.Bei ni Tshs 650,000.Kama upo happy naomba unitumie PM halafu nitakupa namba ya simu nilie mkabidhi.
DSC05067.JPGDSC05061.JPGDSC05066.JPG
 
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
1,960
Points
1,225
Anheuser

Anheuser

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
1,960 1,225
na ndo inatumika sana kufanya videos mamtoni.

Hii ni movie moja wapo ambayo wametumia hii camera
kamba!

movie hai shutiwi na ki single lens reflex camera kama hicho
 
Forum statistics

Threads 1,285,941
Members 494,834
Posts 30,879,845
Top