nahitaji nyumba ya kununua ya kisasa

brasy coco

JF-Expert Member
Apr 25, 2012
1,489
896
wakuu naomba msaada wenu usio wa kitapeli maana nitawafunga haraka sana......nahitaji nyumba nzuri ya kisasa iwe na 4 bedrooms........masterbedroom isikose kati ya ivyo nyumba......iwe na fensi nzuri....maji muhimu...umeme.....ndani iwe nzuri vyumba vikubwa....iwe mitaa ya masaki, makumbusho,kijitonyama.....mikocheni....upanga.......msasani beach.......ostabei...........kinondon ya uzunguni........kwa yeyote mwenye kuweza anisaidie hapa wakuu kunipa Information
 
'''wakuu naomba msaada wenu usio wa
kitapeli maana nitawafunga haraka
sana......'''
MI NIMEAMBULIA HAYA MANENO TU
 
Mi ninayo mbezi beach, ina ghorofa moja bei ni bilioni moja

acha uongo bhana nmeletewa nyuma mbezi beach ya kifahari na ina swimming pool bt haifka hyo bilion moja ww unaleta masikhara me nataka kweli
 
kama uko serious nitafute nikupeleke ukazione na ulipie mi ni dalali 0657 145555 ofisi yangu ipo kinondoni A.
 
ntumie picha za nyumba piga vizuri na vyumba vyake nadhani umeelewa nahitaj nyumba ya namna gani so unaweza ukanisendia picha
 
hao real esate hawajui kazi kwanza maagent wao wanalinga hawapo up 2 date hata ukiwaulza kitu mtanadaoni hawajibu yan wanaboa sana nshaongea na agent zao mpaka nimechoka sasa
 
Back
Top Bottom