natafuta mark II GR au charser, zile old model

conta

Member
Oct 29, 2012
46
13
Hi there
Nahitaji kununua mark II GR au charser, old model iwe imesimama. Budget yangu 2M

Mwenye nayo email au nipigie through
engineertz@gmail.com
0787659145, 0767659145
 
Hi there
Nahitaji kununua mark II GR au charser, old model iwe imesimama. Budget yangu 2M

Mwenye nayo email au nipigie through
engineertz@gmail.com
0787659145, 0767659145
Ninayo lakini kwa bajeti hiyo tafuta SAN LG zile pikipiki za Kichina mkuu utapata na chenji itarudi uwekee mafuta mwaka mzima. Itakusaidia kwa mishemishe za town mkuu. Hiyo bajeti ni ya kuwekea mafuta kwa miezi 6 tu mkuu, haitoshi kununulia hata magurudumu mapya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom