Nauza laptop na projector bei nzuri sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza laptop na projector bei nzuri sana.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by NEXTLEVEL, Sep 18, 2012.

 1. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Laptop Toshiba Satellite J60,RAM 1GB,HDD 40GB,SPEED 2.6GHz,CD ROM. BEI 150,000 IMESHAUZWA

  EPSON PROJECTOR iko safi kabisa. BEI 380,000

  SELLING REASON:Need some quick cash to resolve a certain issue. Contact 0717 017 820

  UNAVYOZIONA PICHA NDIVYO MASHINE ZILIVYO.
   

  Attached Files:

 2. D

  Damky Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hiyo projector ni mpya au used. Kama used ina remaining bulb hours ngapi? My offer is 300 thau...if interested text me on O713531906 and we will do business.
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu hizo picha ni za bidhaa halisi au umezi'google tu kama mfano.
   
 4. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu nahitaji hiyo laptop, tuwasiliane 0654994899 tufanye biashara.
   
 5. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80

  Mkuu nimetumia model zake ambapo ndivyo zilivyo siyo halisi ziko exactly kama uonavyo hapo,in good condition nikuwasha na kutumia tu
   
 6. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #6
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80

  Mkuu nimetumia model zake ambapo ndivyo zilivyo siyo halisi ziko exactly kama uonavyo hapo,in good condition nikuwasha na kutumia tu
   
 7. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #7
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Mkuu ina hours zaidi ya 3000 unamiaka kadhaa ya kuitumia kwa ofa yako siyo mbaya lakini ninauhakika na mashine yangu so bei niliyoweka ndiyo final otherwise nitaendelea kuitumia mwenyewe.
   
 8. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #8
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu hapo kwenye red si lugha sahihi ya kibiashara,kuhusu laptop ngoja nimcheck jamaa yangu mmoja alikua anaitaji then ntakutafuta.kwa wewe upo wap?
   
 9. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #9
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Asante kwa ushauri ingawa maana yangu haikuwa ieleweke kama ilivyoeleweka,mimi huwa sipendi nikwambie bei ya juu ili tushushane kama Mr Ebo,ukiiona hiyo projector utakubaliana na mimi kwamba bei iko fair.
   
 10. E

  EJay JF-Expert Member

  #10
  Sep 21, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu hiyo Laptop betri inakaa muda gani na ina matatizo kwa ujumla then tuongee biashara
   
 11. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #11
  Sep 21, 2012
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 589
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Mkuu usiangaike kuhusu laptop, Business closed may be kama unataka hiyo Projector ♥
   
 12. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,356
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Projector ishauzwa au bado?
   
 13. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Zipo projector 2,nicheck kama unahitaji
   
 14. Mc Tilly Chizenga

  Mc Tilly Chizenga JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 3,719
  Likes Received: 822
  Trophy Points: 280
  projector bado unazo kiongozi?bei imepungua kidogo?upo mji gani?mi nipo arusha nicheki 0754348782 au 0715 same number
   
 15. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  Projector imebaki moja same model na hiyo kwenye picha nyingene jamaa amechua leo hii,mimi niko Dar.
   
Loading...