Kwa anayetaka kununua nyumba dar tuwasiliane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa anayetaka kununua nyumba dar tuwasiliane

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Akiri, Oct 23, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Tunauza nyumba za kuanzia 17m - 7bn, nyumba hizi zipo masaki , obey, mikocheni, mbezi beach , mbezi ya kimara , kawe nk tunazo nyumba mpya na chakavu. utatujulisha aina ya nyumba unayotaka then tutakutumia picha ya nyumba ya hiyo nyumba ama unaweza kuja na ukaiona. pia tuna viwanja vya ukubwa wote unaotaka hapa Tanzania.

  Tumejipanga na tuona utaratibu wa namna ya kufanya hiyo kazi tupigie tutakwambia 0657 145555, 0755 099 291
  & 0686 200 117 Akili.
   
 2. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  haya mkuu tumekusikia............
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mkuu weka picha ya nyumba ya 17m....
   
 4. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Kwambaali naona picha ya Tandale kwa bibi nyau!
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Nyumba ya 20m mkuu wapi naweza pata?
   
 6. m

  mdunya JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 765
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  7b? Lazima uwe fisadi hapa
   
 7. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Niko interested na nyumba chakavu za Kawe.
   
 8. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,551
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Unayo beach house?
   
 9. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Naogopa hata kuiona!
   
 10. r

  ramson34 Senior Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Naomba picha tafadhari sana, nina ku pm muda is Mrefu..
   
 11. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #11
  Oct 24, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Unaweza kudisplay baadhi ya nyumba ili tuzitathiminishe?
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Oct 24, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,064
  Likes Received: 7,280
  Trophy Points: 280
  Akiri una properties nyingi sana mikononi mwako, sidahni kama kwa style hii ni poa.
  Ushauri wangu tafuta mtaalamu akufungulie blog yako uwe unaweka humo mali mbalimbali watu wanajitembelea wenyewe. Hii mambo ya kila anaetaka akutafute kwa simu utajigawa mara ngapi kaka?? Kwanza wateja wengi muda wa kuanza kutafutana na kuzurura hawana.
  Siamini kama utahitaji lazima mtu akutafute physically ili ule "cha udalali" cha kumpelekea, siamini hivyo hata kidogo.

  Ni hayo tu mkuu wangu
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  tuma imail yako nikurushie moja wapo au njoo uone ipo mwananyamala
   
 14. A

  Akiri JF-Expert Member

  #14
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  moja ipo buguruni nyingine mwananyamala na mbagara chamanzi
   
 15. A

  Akiri JF-Expert Member

  #15
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sio lazima unaweza kuwa mfanyabiashara n.k
   
 16. A

  Akiri JF-Expert Member

  #16
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndiyo mkuu soon nitafanya hivyo
   
 17. A

  Akiri JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  naendelea kusubiri
   
 18. A

  Akiri JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  ndiyo kiongozi
   

  Attached Files:

 19. A

  Akiri JF-Expert Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  DSC06264.JPG DSC06195.JPG
  mfano wa hizi nyumba hii ya kushoto inauzwa 90 iko mbagara hii ya kulia inauzwa 250m ipo tegeta karibu na bara bara
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Oct 24, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,551
  Likes Received: 1,899
  Trophy Points: 280
  Ok mkuu,ipo ufukweni kabisa?Ama ni some distance?Kama unayo ya ufukweni kabisa basi ninahitaji details mkuu,pia na picture,kwa mfano hizo hapo chini,unaweza kuona proximities zake from the water...Shukran.
  [​IMG][​IMG]
   
Loading...