Nyumba yenye frem nne,kontena moja na eneo lilobaki kwa Tsh 350ml.

Ael urassa

Member
Mar 4, 2011
7
1
Nyumba hiyo ipo maeneo ya Tabata bima ilipo shule ya St.Marry.
Kumbuka nyumba hio ipo na Title ya makazi na bishara. hivyo kunaweza kuwekwa Godown,au chochote kibiashara.
Tuwasiliane kwa maelezo na jinsi ya kupaona kwa 0713852625.
Haina Udalali!!!!
 
Jamani natafuta kiwanja kinachouzwa au nyumba inayouzwa kati ya maeneo yafuatayo UPANGA, MBEZI BEACH, MASAKI, MSASANI, MIKOCHENI NA KIJITONYAMA kama unayo hiyo sehemu kati ya kiwanja au nyumba tuwasiliane kwa 0787 598 761 na 0715 598 761 au E-mail mpjulius@gmail.com kama ni nyumba unaweza kuweka picha ya nyumba pande zote na pia picha parking ya magari na vingine mhimu.
 
Back
Top Bottom