Nauza kiwanja mkuranga

Nauza kiwanja mkuranga

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
KIPO MAENEO YA KIPALANG'ANDA KWA RUBAHA NI ROBO EKARI...........KIPO KARIBU NA BARABARA

IENDAYO KUSINI.

SH MILIONI 2.tu.

Contact 0767/0712 85 66 82
 
Hiyo bei ni ya kawaida kabisa,wenye ela zenu changamkeni sasa
 
KIPO MAENEO YA KIPALANG'ANDA KWA RUBAHA NI ROBO EKARI...........KIPO KARIBU NA BARABARA

IENDAYO KUSINI.

SH MILIONI 2.tu.

Contact 0767/0712 85 66 82

Kipalang'anda hivi ni wapi?kabla ya kufika Vikindu au baada ya kupita Vikindu? (ungesema ni kilometa ngapi kutoka Mbagala
 
ok.......kipalang'anda ipo mbele ya vikindu,,,,,,,,,,,,,,ukitoka mkuranga stend unapanda gari sh 300 mpk kiwanja kilipo
 
KIPO MAENEO YA KIPALANG'ANDA KWA RUBAHA NI ROBO EKARI...........KIPO KARIBU NA BARABARA

IENDAYO KUSINI.

SH MILIONI 2.tu.

Contact 0767/0712 85 66 82

Mimi natafuta kiwanja nchi ya mji lakini kiwe karibu na barabara Kuu na si mbali sana kutoka katikati ya jiji, lakini ukubwa uanzie ekari moja and up. Tunahitaji hewa safi si kupumuliana hewa na majirani.
 
Kuna ekari 2 zinauzwa kisemvure km 14 toka mbagala umeme upo karibu na ni km 2 toka main road bei 15 m kama unahitaji ni pm
 
Kipalang'anda ipo km 36kutoka Mbagala. Ni kilomita 4 kutoka Mkuranga mjini!
Kipalang'anda hivi ni wapi?kabla ya kufika Vikindu au baada ya kupita Vikindu? (ungesema ni kilometa ngapi kutoka Mbagala
 
Huduma muhimu kama umeme na maji yapo jirani? ni chako au wewe ni dalali?
 
umeme upo km 2 na kiwanja kilipo ila maji ni ya kisima,,,,,,,,,,,,,kiwanja ni mali yangu ht hati inasomeka jina langu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom