hallo people, ...
Nina computer za kutosha, zimetumika kidogo na zipo katika hali inayoridisha kabisa..
Specification zake ni;
Pentium : 3 na 4
Processor : duo core 2.4, 2. 6, 2. 8
Ram...
kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, linahitajika eneo la kukodeshwa kwa ajili ya bar au restaurant maeneo ya msasani.
Kama unalo nichek via 0717354243 kwa maongezi zaidi
:israel:PATA SIMU YA KIJANJA,:israel:
Orange San Francisco (ZTE BLADE)
WITH ANDROID AND HIGH SENSITIVE TOUCH.
:israel: ONLY FOR 95 USD OR 150000 TSH.:israel:
TUPO KARIAKOO...
Ni ya mwaka 1998, 4 cylinders, Automatic Transmission, Fuel consumption 8km/Ltr, imelipiwa M/Vehicle license na Third Party Insurance hadi mwakani na ipo katika hali nzuri kama inavyoonekana...
Wakuu habari!
Naomba mnisaidie natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu;
.Iwe na vyumba vitatu vya kulala
.Choo cha ndani (preffered sio lazima)
. Iwe ndani ya fence
..Iwe...
mambo vipi wana JF?
Toyota Duet ya milango mitano inauzwa.
Mwaka 1999
Kilometa 71400km
Engine Cc 980
Bei 5,000,000
Kwa mawasiliano 0717 123464 au 0762 101178
Nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 70 liko Kiwangwa kijiji cha Lugogo kila ekari ni Tshs 600,000/= maelewano yapo. Umbali wa Km 4 toka barabara ya lami Msatta - Dar, gari inafika hadi shambani Ni...
PATA SIMU YA KIJANJA,
Orange San Francisco (ZTE BLADE)
WITH ANDROID AND HIGH SENSITIVE TOUCH.
ONLY FOR 95 USD OR 150000 TSH.
General
2G Network
GSM 900 / 1800 / 1900...
uzinduzi wa
tunawakaribisha
katika uzinduzi wa album mpya ya
'wokovu wetu u tayari
ya cornerstone gospel singers
ambayo itafanyika siku ya jumapili
kuanzia saa 8 mchana na kuendelea
katika...
Anaitwa EMANUEL MWAIPALE mweyeji wa mkoa wa mbeya, wilaya ya Kyela. kitu ambacho sifahamu ni kata na kijiji anachotoka mwaka juzi alihama kutoka Mbeya mjini maeneo ya Mwanjelwa na ambako alikuwa...
Nyumba ipo mbweni mpiji kwenye eneo la ukubwa wa sqm 663, nyumba bado haijakamilika ndani, ina vyumba 3, kimoja master, sebule, choo, dinning, jiko, stoo na public toilet. maji na umeme vipo bei...
Dege heka 2 mil.12/salasala square meter 1500 mil.15/mbutu karibu na kichangani beach resout mil. 15 square meter 1500 contact 0776 237 245/0612 555 111
nyumba ipo kihonda mazimbu road
bei millioni 7.5 maongezi yapo.
ninaiuza kutokana na kuhamishwa mkoa kikazi na kuwa mbali naamini nitashindwa kuihudumia .
MAWASILIANO-0715026030
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.