kiwanja kinauzwa kibada bei 3m

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,446
1,225
hakijapimwa, kipo umbali wa 0.5 toka barabarani, kimepandwa minazi . umeme umefika kina ukubwa wa miguu 27 x 35 bei 3 milioni. kibada full shangwe
0755 099 291 n 0657145555
 
Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,700
1,250
hakijapimwa, kipo umbali wa 0.5 toka barabarani, kimepandwa minazi . umeme umefika kina ukubwa wa miguu 27 x 35 bei 3 milioni. kibada full shangwe
0755 099 291 n 0657145555
kibada full shangwe ni wapi?
 
kawakama

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,300
1,500
na hajasema miguu ya nini
inaweza kuwa miguu ya ngamia,sungura,nguruwe,ngedere,kakakuona au miguu ya bata
ufafanuzi plz
 
bombu

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,127
1,225
Msijifanye hamjamwelewa, mkiambiwa kiwanja kina ukubwa wa 27ft x35ft je? Ameamua tuu kutafsiri kwa kilugha chetu. Haya basi kazi kwenu
 
Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
170
hakijapimwa, kipo umbali wa 0.5 toka barabarani, kimepandwa minazi . Umeme umefika kina ukubwa wa miguu 27 x 35 bei 3 milioni. Kibada full shangwe
0755 099 291 n 0657145555
kweli kaka hujaelezea vizuri unaposema kipo umbali wa 0.5 toka barabarani hicho ni kipimo gani cha meter au kilometer?
Naona ungefafanua vyema watu wakulewe. Kisha unaposema mabo ya miguu nadhani ungetafuta mtu akupimie kiwe kina ukubwa in meters
asante
 
kilometer mkuu , njoo ulipie ka plot haka , haka kaeneo ni kazuri sana upepo kibao minazi kwa kwenda mbele
 
Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
170
hakijapimwa, kipo umbali wa 0.5 toka barabarani, kimepandwa minazi . Umeme umefika kina ukubwa wa miguu 27 x 35 bei 3 milioni. Kibada full shangwe
0755 099 291 n 0657145555
kweli kaka hujaelezea vizuri unaposema kipo umbali wa 0.5 toka barabarani hicho ni kipimo gani cha meter au kilometer?
Naona ungefafanua vyema watu wakulewe. Kisha unaposema mabo ya miguu nadhani ungetafuta mtu akupimie kiwe kina ukubwa in meters
asante
 
Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,446
1,225
Nitasoma hicho kitabu cha Zaburi ili kuona kama mstari uliotaja umejibu maana ya kipimo cha miguu au umetoa fasiri ya suali langu.Vinginevyo uwe na wakati mzuri mkuu!
mbona jambo dogo sana hilo mara nyingi tunapopima hatua zinakuwa baadala ya mita hatua 25 nia sawa na mita 25 . kwenye kuuza mashamba wengi wanapima miguu, ni jambo dongo halihitaji mjadala mlefu
 
Top Bottom