Hansy wa East JF-Expert Member Jul 8, 2012 447 230 Nov 18, 2012 #1 Wadau anayejua mahali naweza kupata betri ya laptop aina ya lenovo g450 anielekeze maana yangu imeshaanza kuchoka nashukuru kwa atayenisaidia.
Wadau anayejua mahali naweza kupata betri ya laptop aina ya lenovo g450 anielekeze maana yangu imeshaanza kuchoka nashukuru kwa atayenisaidia.
P pacificamarine Member Dec 1, 2010 68 4 Nov 19, 2012 #2 Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com. Sisi tutakuagizia tpoka Belgium tutakuletea mpaka Dar es Salaam. Battery For Lenovo 3000 G430 G450 G530 G550 LO8N6Y02 42T4729 42T4730 L08S6C02 $79.57
Tuandikie kwenye pacificamarine@yahoo.com. Sisi tutakuagizia tpoka Belgium tutakuletea mpaka Dar es Salaam. Battery For Lenovo 3000 G430 G450 G530 G550 LO8N6Y02 42T4729 42T4730 L08S6C02 $79.57