Eneo lingine linauzwa burka estate block a

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,912
2,000
eneo linauzwa burka estate block a ( satelite city ) urefu hatua 70 na upana hatua 40. bei ni 75m ila maongezi yapo kwa mtu aliye serious . kwa mawasiliano zaidi tuma PM
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,896

bucho uzeni haraka kabla ya hoja ya Mh. Halima Mdee haijajadiliwa katika kikao cha Bunge lijalo
 
Last edited by a moderator:

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,311
2,000
eneo linauzwa burka estate block a ( satelite city ) urefu hatua 70 na upana hatua 40. bei ni 75m ila maongezi yapo kwa mtu aliye serious . kwa mawasiliano zaidi tuma PM
:confused2::confused2::confused2:.......THAT'S A WHOOPING TZS 27,000 PER SQUARE METRE...... and that's for the birds for sure
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,896
2,000
mkuu kwani hili eneo lina proper documents , kwahiyo sina hata chembe ya wasiwasi .
bucho najua una "documents" halali lakini tulioomba ni wengi, mimi nililipia formu tano za maombi sasa kwani wewe upate mpaka vya kuuza wakati wengine walihitaji kweli kwa ajili ya makazi ya familia zao?
 
Last edited by a moderator:

bucho

JF-Expert Member
Jul 13, 2010
4,912
2,000
bucho najua una "documents" halali lakini tulioomba ni wengi, mimi nililipia formu tano za maombi sasa kwani wewe upate mpaka vya kuuza wakati wengine walihitaji kweli kwa ajili ya makazi ya familia zao?

mkuu sio mimi naliuza ila ni mtu wa karibu ndio analiuza . amepata matatizo inabidi aliuze maana ndio asset pekee aliyokuwanayo.
 
Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
5,896
2,000
mkuu sio mimi naliuza ila ni mtu wa karibu ndio analiuza . amepata matatizo inabidi aliuze maana ndio asset pekee aliyokuwanayo.
bucho uza tuu baba mimi niko mitaani tuu siko serikalini wala sina sauti kwenye chama chochote kwa hiyo usihofu
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom