Msaada kuhusu Nissan Liberty

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,086
2,000
Wakuu
Hizi NISSAN LIBERTY zimenivutia sana hususan mwonekano wake wa ndani na nje. Bahati mbaya sijawahi kumilki gari hizi. Kwa hiyo nina ufahamu zaidi wa toyota tu. Nimeplan nibadilishe gari. Awali nilitaka kununua Toyota Gaia lakini baada ya kuziona Nissan Liberty nimezipenda maana zinafanana na Gaia. Naomba mwenye ufahamu anifahamishe kuhusu upatikanaji wa spare parts
Nawasilisha
 
Kacharimbe

JF-Expert Member
Apr 2, 2011
203
195
Tatizo kubwa la product za NISSAN katika soko la Tanzania ni upatikanaji wa spare parts kama ulivyosema. Hata hivyo inategemea upo sehemu gani hapa Tanzania, maana kwa Dar es Salaam sidhani kama unaweza kukosa kitu ila nijuavyo spare parts za nissan zinapatikana nairobi tu. Faida kubwa ya nissan ni kwamba spare parts zake hazichakachuliwi, utainunua kwa bei kubwa na pengine mbali sana lakini itadumu sana
 
Nashukuru mkuu
 
Top Bottom