For enteprenuers in food processing machines

For enteprenuers in food processing machines

enstein1

Member
Joined
Jul 14, 2009
Posts
68
Reaction score
29
Kwa wale wanotaka kufanya ujasiliamali kwenye biashara za kusaga semba, kutengeneza juisi za matunda, na aina mbali za mashine tafadhali fungua kiambatanisho,
 

Attachments

Poleni kwa usumbufu wakuu!! Naambatanisha file jingine lenye picha zaidi kuliko maelezo ya mashine hizo!

Asante unaonjae ungetuwekea bei ili tulinganishe na SIDO Dar, BICCO na wengine wako Morogoro.
 
Back
Top Bottom